Jamani kwa wale wenye nia just call ndo maana nimetoa namba, najua JF ina watu wengi na kila mtu ana interest yake. Binafsi naishukuru sana JF maana nimepokea simu zaidi ya sita mpaka sasa wakihitaji maelezo japo kwa kifupi.
Venue: Dodoma
Cost: 150,000
Time: 14:00-16:00 for two weeks ila special arrangement can be done,
Date:31-01-2011
No online session but soon will be posted via my moodle platfom which I will also let you know.
We also offer Data Analysis Consultancy. Ukiwa na data zako bado unaweza kunitumia tukalijenga taifa pamoja