josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 637
Wakuu naombeni usaidizi, nmenunua simu ina app ya spotify lakin nimeshindwa kuiwezesha ifanye kazi, kila nkijisajili inagoma.
Na kusubscribe/kulipia ukiwa huku inawezekana??Tumia VPN,
Nakula kiboga/mzigo kama kawa wa Spotify