Spot the Bird, Name it & Get Zawadi from Me

Aloo hili li ndege ni nomaaa!!
Asubuhi nikikutana nalo naairisha kwenda kazin!
 
where did you learn your biology? an owl is a bird??
do you know which species it belongs to??
Indeed an owl is a bird..., the only flying mammal is a Bat, but for an owl definitely a Bird..

By the way where did you learn your biology ?
 
mweeeeh......basi jana nakamua zangu maji ya ilala pale pembeni ya mtambuzi pub kuna baa ipo chini ya mkungu, bundi tatu zikatokea zikakaa juu ya paa zinaniangalia!!!!!!!!!!! nililia sana! kila nikiinua glass wananikodolea....nikipiga funda hao wananikodolea.....wacha niangue kilio!!!! :embarrassed::embarrassed: sirudi ng'ooooo hapooo mkunguni
 

Sio wewe tu, imani za kishirikina ni janga la kitaifa. Tumeshuhudia viongozi wakubwa tu wakienda kunywa kikombe Loliondo,tumeshuhudia wabunge wakiwekeana ndumba kule mjengoni, yaani ni aibu tupu kwa taifa linaloendelea.Wakati wengine wameingia kwenye sayansi na teknolojia wewe bado uko ki kalumanzila zaidi.
 
where did you learn your biology? an owl is a bird??
do you know which species it belongs to??
Ha! ha! ha! .. Boflo acha mkwara Bwana! ....

Unataka kutajiwa ... wewe mwenyewe unajifanya ulikuwa mtaalamu sana kwenye Clasifications za bailogi?!

Haya chukua hii



Owl
Temporal range: Late Paleocene
Little Owl (Athene noctua)


Scientific classification


Kingdom: Animalia

Phylum:
Chordata
Class: Aves
Superorder: Falconimorphae
Order: Strigiformes


Families

  • Strigidae
  • Tytonidae
  • Ogygoptyngidae (fossil)
  • Palaeoglaucidae (fossil)
  • Protostrigidae (fossil)
  • Sophiornithidae (fossil)

Hii ndio JF .. haya hivo ni range za Owl ambapo kuna most species...

Boflooooooooooooooooooooo oooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!
 
So easy owl, nipe zawadi maana ulihaidi
 
distazo banaaaa mi nimelia why bundi waniwekee pozi wakati nakata kilaji changu!!!!
nilimaindi sana aisee!!!
hata paka nao wako kishirikina...lakini bundi noumer maana hawaonakani mara zote!!!!
 
Last edited by a moderator:
bundi kulia usiku ni kawaida,lakini cha kushangaza watu hutimua mbio eti wamelogwa!Kha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…