Sports analysis 'box to box '

ae60d4a73387ead4facde16c3d872e3a.jpg
7e30e31058b5d35043192ee75e371d72.jpg
 
wote wapo mkuu, Bellarabi jana aliingia tokea benchi alichukua nafasi ya Brandt.

mkuu sidhani kama utaweza kupata jezi original ya hii timu kwa sasa hasa kwa hapa tz maana ndio kwanza imepanda daraja, ila kuanzia msimu ujao nina uhakika zitasambaa sana hata mdosho hutakosa.

RB Leipzig ni timu inayochukiwa kuliko timu zote ujerumani, hii inatokana na uendeshwaji wake na the way ilivoanzishwa. Rasmi ilianzishwa kama ulivosema hapo 2009 miaka miwili tu baada ya azam fc kuanzishwa, ilianzishwa na kampuni ya Red Bull.

kampuni ya red bull ilinunua leseni ya uendeshaji wa timu iliyokua ikishiriki mashindano ya ligi daraja la tano (fitth division) iliyokua inajulikana kama SSV Markranstandt, lakini mwanzo walijaribu mara kadhaa kununua timu zilizokua madaraja ya juu na kushindwa kutokana na nguvu ya mashabiki waliyonayo kwenye timu za ujerumani tofauti na ligi zingine. baada ya kupata kibali cha kuimiliki hii timu ndio wakabadili jina na kuitwa RB leipzig.

Hii timu inapatikana ujeruman mashariki katika mji wa sexony. huu mji haujawahi kuwa na timu yyte kwenye BL tokea mwaka '94 na haujawahi kuwa na timu yyte kwenye proffesional league tokea mwaka '98. kampuni ya red bull chini ya mshauri wake Franz beckenbauer ikakaa chini wakashauriana kuanzisha timu eneo hili kutokana na historia ya hili eneo katika michezo hasa mpira wa miguu. kwenye hilo eneo kuna uwanja mkubwa sana wa mpira ambao huwa unatumika hata katika michuano ya kitaifa na kimataifa na leipzig ilipoanzishwa ikaombwa kuutumia huo uwanja kama ni uwanja wao wa nyumbani lakini wamiliki wa timu wakakataa na kujenga uwanja wao red bull arena wenye uwezo wa kubeba watu 43k.

jaribu kufuatilia historia ya hawa jamaa ni nzuri ya kuvutia, lakini kwa ufupi ndio hivo na toka imeanzishwa kila mwaka imekua ikipanda daraja na msimu wa 2012-13 hawakufungwa mechi yyte (invisible) kwenye league IV hadi wanapanda daraja. Msimu ujao tutawaona uefa ikiwa ni malengo waliokua wamejiwekea kwamba ndani ya miaka 10 lazima wacheze mashindano ya ulaya.

ngoja tuende kanisani wakuu baadaye
Mkuu asante sana
 
pescara 0 juventus 2
laiti kama kuna uwezekano wa kumchagua mwanadamu yoyote aliyepo juventus umpeleke kwenye timu unayoipendelea basi mimi nisingelimchagua higuain, dyabala, buffon, alves, chiellini wala nisingemchagua allegri, ningelimchagua mtendaji mkuu BEPPE MAROTTA, heshima kwake kwa kuifanya juventus kuwa timu bora.
beppe.jpg
Watu na mipango yao mkuu...unamkumbuka aliyesema hakuwekeza kwenye timu ili ishiriki uefa ?
 
Wakuu kwanza salaam za pongezi na pole kwa wapenda man u na Chelsea ila hamna namna ni mda muafaka wa kulaumiana uku tukihesabu tarehe kuliko mechi ....anyway twende sawa wakuuu
ukisikia special one kweli tumuache tu awe special one kwani akili zake huwa anazijua mwenyewe mda mwingine .. apo wengi ndo huwa tunampenda na kumchukia huyu mzee kwa wakati mmoja ,,mipango yake ilifanikiwa kabla na baada ya kipenga kupulizwa ....

Mipango ya mzee Antonio ilifanikiwa kabla hawajatoka London ila ikafeli walipofika Manchester ...

mipango ya mzee Josee ilifanikiwa mapema ata kabla ya mchezo make kufanya mabadiliko ata kabla ya mchezo kwa chelsea na wakati ndo mtu aliyekuwa anaandaliwa kuua mipango ya mzee josè utafanyaje ...Alondo warm up ilikupenda zaidi

Kosa la kwanza katika mchezo huu lilikuwa ni la David Luiz kushindwa ku clear mpira aliokuwa nao kwa haraka na kusababisha lingard kublock na ukamkuta Rashford aliyekuwa na papara na kupiga mbali kabisa na begovic....... Hapo kidogo aigharimu timu kwa uzembe wake.

Kosa la pili kubwa katika mchezo huu ni pale Mwamuzi aliposhindwa kuuona mkono wa Andre Herrera ulipouongoza mpira kabla ya ku turn na kupiga pasi ya ndizi iliyokwenda kuzaa kosa la tatu la David Luiz kushindwa kuuingilia mpira ule na kuamua kuukimbilia pasi na kujua speed ni tatizo kwake na kujiruhusu kukaa mgongoni mwa Rashford wakati akilitizama goli......

Kosa la nne likikuwa katika himaya ya captain Cahill wakati luiz alifanikiwa kuuondosha mpira katika box la 6 la Chelsea Cahill yeye alikuwa bize kumyanyua Rashford katika wakati ambao alitakiwa kufanya making na kuuangalia mpira...... Herrera anakutana na mpira mzuri anapiga rebound na unazama golini na kuandika goli la pili.....

Pattern ni kitu kilichoingia katika mfumo wa Jose Mourinho na kikashirikiana na mfumo kuleta matokeo hayo...... Team work kwa upande wa Manchester united ilionekana kuwa na uwiano mzuri katika pattern kuliko majina watu waliyoyafikiria awali katika line up...... Binafsi nilipenda mbinu tata alizoingia nazo Mourinho za kuwatumia wavulana katika mchezo wa wanaume.

Ng'olo kante ni mfanyakazi bora pale Chelsea..... Na mara zote kazi yake ni kuwaweka salama wale watatu wa nyuma pindi timu haina mpira(kukaba) lakini pia kuifikisha mipira katika upande wowote mbele na karibu zaidi ya ule mstari wa kati. Eden Hazard ni mtu mwingine bora kabisa katika kupokea kile alichokitafuta Ngolo kante na kukiwasilisha vyema katika eneo husika na kuwafanya Chelsea wawepo hapo walipo kwa sasa....... Chini ya ulinzi wa Andre Herrera hakukua na ile kazi ya Eden Hazard tuliyoizoea ila pia chini ya ulinzi wa Fellain na Pogba hakukuwa na ile kazi ya mfanyakazi bora bwana ng'olo kante pale katikati ya uwanja.....

Hapa Patterns za Mourinho zilifanikiwa ku lock mfumo wa bwana Conte kwa kuua njia mbili za mafanikio katika muundo wa Chelsea..... Herrera alifanikiwa kuua mipira yote sumu iliyokuwa iwakute Diego Costa na Pedro kutoka kwa hazard lakini pia Fellain na Pogba wao walifanikiwa kwanza kuuwa kazi ya mfanyakazi ya bora ng'olo kante kwanza.

Zouma, Cahill na Luiz Bado wanahitaji tuition kubwa sana kutoka kwa babu John Terry kwa asilimia kubwa...... Speed ni kitu ambacho limekuwa tatizo kwao ila timing nayo imekuwa shida kubwa kama united wangekuwa makini haswa Ashley Young nadhani wangeweza kupanua zaidi result bord...... Marco Alonso ni pigo katika kikosi cha Chelsea kutokana na mchango wake katika eneo husika(wing back)... Hiki ni kipindi ambacho majeruhi yanaigharimu timu katika matokeo mabaya kuliko kipindi kingine chote.

Diego costa unavyondelea kuusahau kazi yako basi usiwe unajikumbusha mshahara wako pia..... Kuna wakati unacheza kama Diego na kuna wakati unafanya kama Costa. Hiki ni kipindi HR anapenda kukuona ukishangilia sana kuliko kukuona ukilalamika zaidi mbele ya Mwamuzi.

Mpira huelekea sana kule unapopigwa sana ndio maana huu ukawa Msimu wa lawama.

Tottenham Hotspur wapo bize tu na kazi zao..... Tuwaache na kazi zao maana naona wanataka kuwa wafanyakazi bora. Bado alama 4 kumfikia Chelsea alipo ....
 
lee empire uliyoyazungumza yote ni ukweli mtupu, kama unaikumbuka mechi ya FA cup utagundua ya kwamba mourinho alimpa jukumu phil jones kupambana na hazard ila alishindwa kumdhibiti jambo ambalo lilipelekea madhara makubwa sana kwenye ile mechi, tofauti na mechi ya jana mourinho jukumu lile alilihamishia kwa midfield ambaye ni herrera (one man mark) kumdhibiti hazard na kiukweli herrera hata asingefunga goli na kutoa assist mimi ningelimchagua kuwa ni man of the match kwa jinsi alivyofanikiwa kumdhibiti eden hazard.

hazard ndie mchezaji ambaye amehusika katika utengenezaji wa mabao mengi na ndie kiungo aliyefunga mabao mengi. na pia nakumbuka nilisoma post yako moja humu baada ya tottenham kumfunga chelsea ulisema ya kwamba mfumo wa 3+5+2 ndio mafanikio ya chelsea na pia ndio hasara ya chelsea, na hilo nimelithibitisha jana united na wao walitumia 3+5+2.
images

popote aliposimama hazard jana mita chache nyuma alisimama herrera jambo ambalo liliua counter attack style ya chelsea, style hii niliwahi kuishuhudia miaka kama 10 iliyopita wakati gattuso (jesus) anamdhibiti cristiano ronaldo ndani ya san siro.

pia jambo jengine alilofanikiwa jose ni kuwatumia lingard na rashford kama ni striker force kukosekana kwa alonso ilikuwa ni tatizo kubwa sana halafu cha kusikitisha zaidi nimegundua central defence ya chelsea ni wazito sana.
pia jose alicheza karata yake vizuri sana baada ya kumuingiza carrick kwa sababu uwepo wa fabregas kulisababisha chelsea kubadili style na kucheza 4+2+3+1 na ukiangalia baada ya carrick kuingia timu ilibadili style na kucheza 5+1+2+1 ambapo kama kawaida herrera aliendelea na kujukumu lake la kumzuia hazard.
hazard kipindi cha mwanzo hakuweza kutengeneza nafasi hata moja, hakupiga shoot hata moja wala hakuweza ku dribble hata mara moja lakini ukimuangalia herrera 100% alifanikiwa kwenye tackle.
 
Attachments

  • upload_2017-4-17_13-7-36.jpeg
    upload_2017-4-17_13-7-36.jpeg
    9.5 KB · Views: 35

Hilo kosa la pili mkono ulkuwa kwenye move na man u alikuwa hashambuliw kwamba aliblock mpira iluiokuwa unakuja upande wa united bali mpira ulienda kwenye move ya mkono na ili asi ublock kabisa alkwepesha mkono haraka sana na kuuwacha mpira upte akageuka nao aka dribble moja akatoa pande.... Ko hiyo ilikuwa 50/50
 
Mkuu umemaliziaa vyema ....mabeki wa Chelsea speed hakuna ndo maana special one alifauluu zaidi kwa wale watu wake wa mwisho
 
Hilo kosa la pili mkono ulkuwa kwenye move na man u alikuwa hashambuliw kwamba aliblock mpira iluiokuwa unakuja upande wa united bali mpira ulienda kwenye move ya mkono na ili asi ublock kabisa alkwepesha mkono haraka sana na kuuwacha mpira upte akageuka nao aka dribble moja akatoa pande.... Ko hiyo ilikuwa 50/50
Ni kweli mkuu ila hapo umenena kishabiki mkuu
 
Back
Top Bottom