Nilisoma kitabu kimoja cha abunuwasi kinasema hii me mama ya mitepwa tepwa huwa wanawapenda vijana wa kiswahili hasa wale ambao hawana mbele wala nyuma na kuwachukuwa majumbani mwao na kuwageuza waumee zao na hapo tena huyo kijana wa kibantu basi hujiona kisha ween kumbe ni upogo tu wa njaa
Inawezekana ni wasupa kitandani, sasa imagine kwenda nae mitaa ya kati kupiga nae misele, unaweza kugombana na watu kwasababu wanakusalimia wewe unaona wanakutania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.