Waswahili wanasema "ukiwa mnafikiri ukiwa kijana,ukizeeka unakuwa mchawi".Pole rafiki yangu Mwangomango.Mara ya kwanza ulipokuwa unaongea kwenye runinga kuhusu kuhamia CCM,nilishangaa kiana na nikakutumia sms ikisema "hongera rafiki yangu kwa urudi CCM".Najua kinachokupeleka CCM sio dira ila unataka kupunguza makali ya maisha.Kutokana na maisha kuwa mazonge na vijana kutotaka kujihangaisha matokeo yake na kama alivyofanya Mwangomango.CHADEMA haiwezi kuyumba kwa kuondoka kwake.Simdharau,lakini Mwangomango ni nani katika siasa za bongo?Kinachoniuma mimi ni jinsi tunavyodhalilisha taaluma zetu,na kuonenya kuwa madarasa mengi tuliyoyapitia ni kupoteza muda.Nenda Mwangomango,Nenda.
Watu kama hawa mimi ndio huwa nawaita "pseudoacademician"! ningefurahi kama angejiuzulu na uspika kwa sababu nafahamu katika bunge la wanafunzi analoongoza kuna watu makini, so watu makini hawawezi kuongozwa na vilaza kama huyu!
Hawa watoto wanasoma muda gani Kama wanashiriki na siasa?
Kama "USOMI" Ndio huu tena wa Chuo Kikuu,kwa sababu ulizozitoa hakuna haja ya vyama vya siasa kuinvest ktk higher institutions! Je hili nalo ni zao la shule za kata! Au ni kufikiri kwa kutumia tumbo? Dah! KAZI IPO!