Spika wa Bunge la Tanzania Yuko Wapi?

Spika wa Bunge la Tanzania Yuko Wapi?

Hivi leo ndo bajeti inapitishwa?
Vp zile fedha za wamerekani zimeingizwa ktk bajeti?
 
Yupo INDIA kwa ajili ya check up ya afya yake , hyo ni taarifa kutoka Magic Fm (morning magic)
 
Binaadamu wengi hufanya mambo kama vile wataishi na kufurahia ushindi milele hiyo ni hulka ya kibinaadamu
Uko sahihi ndugu Odhiambo cairo ,hili ndio linamkuta kwa sasa Dada Tulia,anafikiri madaraka hayo aliyokasimishwa kwa nguvu ya mhimili wa dola yatakuwa kwake milele.
Miezi kumi iliyopita kiti hicho kilikuwa "mali" ya Ndugai na Makinda,lkn leo Makinda yupo Kijitonyama akitizama bunge kwenye Tv
Ana muda mrefu wa kuishi huku historia ikimuhukumu,kiburi cha cheo na elimu vinamfanya ahisi amemaliza kila kitu katika dunia
Mfalme Suleiman aliomba hekima tu,licha ya kuwa alikuwa na nafasi ya kuomba mali na madaraka...Hekima ni mzizi wa maisha
 
Watuweke wazi tujue afya yake kama anaweza kuhimili shughuli zake kikamilifu.
 
Alitaka angusha serikali ya Kikwete wakati wa escrow,kilichompata huko France hatujui na waolimfanyia hawakujua atakuja kuwa Spika wa bunge.
mods msifute post yangu kama kawaida yenu
 
Haloo,hiz tetes zinazosambaa ni kweli?
 
Uko sahihi ndugu Odhiambo cairo ,hili ndio linamkuta kwa sasa Dada Tulia,anafikiri madaraka hayo aliyokasimishwa kwa nguvu ya mhimili wa dola yatakuwa kwake milele.
Miezi kumi iliyopita kiti hicho kilikuwa "mali" ya Ndugai na Makinda,lkn leo Makinda yupo Kijitonyama akitizama bunge kwenye Tv
Ana muda mrefu wa kuishi huku historia ikimuhukumu,kiburi cha cheo na elimu vinamfanya ahisi amemaliza kila kitu katika dunia
Mfalme Suleiman aliomba hekima tu,licha ya kuwa alikuwa na nafasi ya kuomba mali na madaraka...Hekima ni mzizi wa maisha

You nailed it
 
Wakuu mbona mnazunguka mbuyu? Naona UKAWA wamebana wanatamani kuachia. Kurudi bungeni chini ya naibu spika umekuwa ni mkwamo mkuu chini ya maamuzi ya kukurupuka ya mzee mbowe.sugu za miguu zinauma wakati safari bado ndefu. Hekima na busara ni kurudisha majeshi ili wabunge waweze kujadili swala muhimu linalogusa wananchi wao wanaowawakilisha.
Mkwamo wa nini wananchi tushajua hila za ccm tunawasubiri
 
Huyu mkuu afya yake inaonekana ina mgogoro kidogo, naona safari yake kama ya pili kwenda pande za huko kwa siku za karibuni.
 
Kuna jamaa aliniambia spika kchwan yuko fit. Anaakil na msomi wa aina yake
 
Daaah huyu jamaa nilimuona mwezi wa kwanza anahojiwa na waaandishi wa habari akitokea india akasema ametengemaa. ila alikua kavaa bonge la koti kama la kupandia mlima kili fikiria na joto lile la dar.

Nikawaza tu labda ac ilikua kali sana
dah megawatt bas zimeongezwa na kuubganishwa kwenye gridi ya taifa. Sasa wale totoz wa Udom sasa hvi maamae ni mawazo
 
Back
Top Bottom