BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Dk yule ujueAlivyo mwembamba kumbe Hadi akili ni nyembamba
Dr wa MchongoDk yule ujue
Huyo unayemuita Betina ni msomi na mwenye madaraka makubwa nchi hii. Mamaako na mkeo (kama wewe ni me) watakufa wanajulikana kwenye nzengo tu kama watu wanaowahi chakula msibani!Betina ni mcheshi tu kama ile katuni yenyewe.
utahukumiwa kutokana na ufala unaofanya sio usomi wala madaraka. Kwa sababu hukwenda shule kusomea ujinga kama wa Betina AksonHuyo unayemuita Betina ni msomi na mwenye madaraka makubwa nchi hii. Mamaako na mkeo (kama wewe ni me) watakufa wanajulikana kwenye nzengo tu kama watu wanaowahi chakula msibani!
Naona spika umekasirika kwelikweliHuyo unayemuita Betina ni msomi na mwenye madaraka makubwa nchi hii. Mamaako na mkeo (kama wewe ni me) watakufa wanajulikana kwenye nzengo tu kama watu wanaowahi chakula msibani!
Kwa hiyo tumpe kofia mbili,ya uaipika na u waziri Mkuu?Speed ya Spika wa Bunge kutetea Serikali inatisha sana, Pamoja na kwamba tuna Bunge dhaifu mionngoni mwa Mabunge yote Duniani lakini still huu muhimili unapaswa kujitenga na Serikali.
Sasa huyu Spika ni kana kwamba yeye ni Waziri Mkuu wa nchi yaanianafanya majukumu yote ya Waziri Mkuu.
Ni vigumu hata hapo Rwanda tu kukuta spika wa Bunge anatetea Serikali, hana huo muda na sio jukumu lakewacha Serikali ijitetete yenyewe.
Tanzania Bunge ni kama ni Serikali wako bise sana kuitetea na kuisifia, Yaani mtu bila kumsifia Raisi hajaona kama kaongea Bungeni.
Nafuatiliaga Bunge la Kenya sijawahi ona Mbunge awe ni wa chama tawala anasimama na kuanza kumsfia Uhuru Kenyata, hio haipo kabisa.
Bunge letu linazidi kuwa dhaifu kila kukicha na si ajabu limegeuka kuwa Zoo sehemu ya watu kwenda kuuzia sura.
Kama Magu ni WA kulaumiwa ktk hili iweje Betina awe PROMOTED Badala ya kuwa DEMOTED.Haya yote wa kulaumiwa ni Maghufuli