Kaambiwa ukweli tupuSpika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu
Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa
Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
Huyo Condester kasema jambo gani?Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu
Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa
Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
Kasema gongo iruhusiwe!Huyo Condester kasema jambo gani?
Nadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!Sasa hawana cha maana cha jadili gongo bangi etc haya basi sawa
Serikali kama inataka kuhalalisha gongo basi iweke kodi kubwa ili waweze kuimudu wachache, gongo ni cheap itamaliza wengi tutakuana na jamii za walevi sanaNadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!
Utengenezaji wa gongo hautakoma leo wala kesho, utaendelea kuwepo milele hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira ya utengenezaji wake unaboreshwa na watumiaji wanapata kilicho bora!
Nafurahia sana yakigombana yenyewe kwa yenyewe!!laaana ya uchafuzi wa 2020Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu
Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa
Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
🤣🤣bunge la awamu ya tano wote ni wabunge wa ajabu sema kila mmoja anaona ana nafuu kuliko mwenzake. Kimsingi wote ni wa ajabu.Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu
Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa
Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
🤣🤣Yeye mbona ameshindwa kumtunzia heshima musukuma!
Wabunge wa michongoNiliwahi kukaa na mbunge wa Iringa anayoongea mmh! na nikamuona akiandika.Mmh elimu muhimu kwa hawa waheshimiwa.
Gongo na k can't,konyagi vina tofauti gani!?hata hivyo haiondoi maana kua ni mbunge wa ajabu, unaenda bungeni kutetea gongo?
iruhusiwe tu mboana huku kagera wanakunywa hadharani na hawakamatwi?iruhusiwe tu.Kasema gongo iruhusiwe!