Umeshindwa na mmeshindwa! Unadhani hizi ni enzi zenu zile? Halafu hujitambui wala huitambui katiba. Unajua mihimili mi3 ya nchi na autonomy ya kila muhimili?Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
We unadhani hayo ni maamuzi ya kwenye mataputapu uliyozoea? Eti si lazima!!! Unajua madhara ya kuikanyaga katiba kama unavyoshabikia?Siyo lazima na hakuna wa kumfanya kitu labda apende tu
Shule.....shule.,..!Ama kweli wewe ni njaakalihatari maana unandika toka hewani, siyo akilini. Yaani just, AKIPENDA..
Yaani ni kusema kubwa tutakuwa tunaishi kwenye nchi ya "ANIMAL FARM" au basi sema "BANANA REPUBLIC" kwa sababu viongozi wetu watakuwa wanatoa maamuzi yao simply kwa sababu, watakuwa WANAPENDA..!!
Nyie akina mama awamu hii mnakiburi snKama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Ni mambo ya kijinga snMambo kama haya yanawachelewesha sana
Wabongo
Ova
Atasema hajapokea barua rasmi, anavuta muda mbunge livunjwe asuburi mwezi wa 9Mkuu hakuna hilo! Kwa sababu Supika alisema hawezi kuwafukuza Ubunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa maamuzi kuhusiana na shauri walilopeleka mahakamani.Sasa Mahakama imetoa maamuzi atafanyaje?
AjaribuKama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Yawezekana ungependa sana akina Mdee waendelee kubaki bungeni hata baada ya shauri lao kutupwa na mahakama. Kwanza kwa mitazamo yako ovu, uliyoirithi kutoka kwa Dhalimu aliye endazake, watia aibu. LAKINI Waonaje ukisubiri yeye mwenyewe ndio atoe tamko lake.Kwani we unaona nini kinaendelea mkuu? Hawatoki wale na hakuna mtu atanfanya kitu spika
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19
Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu
Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye
Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Siyo lazima na hakuna wa kumfanya kitu labda apende tu
Ina maana huoni wako bungeni bado na wanachangia mada
Kwani we unaona nini kinaendelea mkuu? Hawatoki wale na hakuna mtu atanfanya kitu spika
πππView attachment 2269682
Hahaha mtakuwa wapole gafla