Matendo na maamuzi ya huyu spika juu ya madhila, magonjwa na maafa ya wabunge wa upinzani yanatia shaka juu ya ubinadamu wake. Na hata watu wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuhoji kama kweli spika huyu anamjua Mungu ama la!
Ndugai alikataa kumtibu Lisu
Ndugai alikataa kumtibu Heche.
Ndugai alikataa kumtibu marehemu Bilago
Ndugai amekataa kumzika marehemu Bilago
Mungu anamuona spika Ndugai...
Tumefikia huko kweli? Hivi spika Ndugai akimaliza uspika wake atajivunia ujenzi wa ubaguzi kwa wapinzani? Haya bhana sawa!
Haiingii akilini kwamba anawanyima misaada ya kiutu ambayo imeidhinishwa kisheria wabunge wa upinzani pasipo huruma wala woga.
Nini chqnzo cha kiburi hiki cha Ndugai? Hivi Ndugai anafahamu kwamba kuna Mungu? Au mwenzetu anajiona yupo juu ya mamlaka na uwezo wa Mungu?