Wewe umewahi kuishi Uganda nini mbona kama una roho mbaya mbaya hivi?
Ombi - Utoaji mimba uruhusiwe ili kuepusha wazazi na aibu kama hii ya huyu aliyeandika uozo huu
Hii comment ni ya Great Thinker!!AhsanteHilo la Ndugai kutomtibu Lissu, Heche na Marehemu Bilago sina uhakika nalo kwani anayetibu ni Daktari na Ndugai siyo Daktari wa Kutibu Binadamu bali Yeye ni Mwanasiasa na mtunga sera tu ambazo pia huwa zinawasaidia hata hao Madaktari huko Hospitalini.
Kuhusu kwenda au kutokwenda Kuzika nadhani haipo mahala popote pale kuanzia katika Vitabu vyetu vya Dini na hata katika Katiba yetu ya Tanzania kwamba ni lazima Binadamu uende Kumzika Binadamu mwenzio isipokuwa hilo hufanyika tu kwa ' Utashi ' wa Mtu. Tunaweza kulaumu kuwa Spika Ndugai hajaenda Kuzika lakini hapo hapo hatujui Ratiba zake Kimajukumu labda zimekaaje kwa siku husika.
Na Mimi nijuavyo Mungu hatoishia tu kumuona Spika Ndugai kwamba ni mbaya kihivyo au siyo Mtu mwema bali hata Mimi na Wewe ambao pengine tuna madhaifu yetu mengi na makubwa kuliko Yeye ila yanafichwa tu kwakuwa Sisi siyo maarufu ( Celeb / Public Figure ) kama alivyo Yeye lakini kama nasi Yetu ' yangechimbuliwa ' pengine huyo Spika Ndugai angekuwa na nafuu.
Tupunguze sana Unafiki wa Kisiasa na Majungu!
Kila la kheri.
katika watu nawaonaga mataahira humu you are number oneUnauliza Kanzu Mecca?
Hakuna asichokijua mkuukuhusu kuwa na shida ya akili, ni mimi ndio wa kwanza au ushawahi kuambiwa na wengine?
Kweli nyie hamna shukrani..pamoja na nafasi na fursa zote alizowapa sitta hadi kutengwa na wenzie bado mnamuona hafai..kweli tenda wema uende zakoAlikuwepo Sitta na majigambo yake. Yuko wapi sasa? Huyu naye atapita kama alivyopita Sitta
wanamageuzi mnaona lakini magamba wanavyowajibu kwa ujeuri kama huyu ndugu hapa juu?Hilo la Ndugai kutomtibu Lissu, Heche na Marehemu Bilago sina uhakika nalo kwani anayetibu ni Daktari na Ndugai siyo Daktari wa Kutibu Binadamu bali Yeye ni Mwanasiasa na mtunga sera tu ambazo pia huwa zinawasaidia hata hao Madaktari huko Hospitalini.
Kuhusu kwenda au kutokwenda Kuzika nadhani haipo mahala popote pale kuanzia katika Vitabu vyetu vya Dini na hata katika Katiba yetu ya Tanzania kwamba ni lazima Binadamu uende Kumzika Binadamu mwenzio isipokuwa hilo hufanyika tu kwa ' Utashi ' wa Mtu. Tunaweza kulaumu kuwa Spika Ndugai hajaenda Kuzika lakini hapo hapo hatujui Ratiba zake Kimajukumu labda zimekaaje kwa siku husika.
Na Mimi nijuavyo Mungu hatoishia tu kumuona Spika Ndugai kwamba ni mbaya kihivyo au siyo Mtu mwema bali hata Mimi na Wewe ambao pengine tuna madhaifu yetu mengi na makubwa kuliko Yeye ila yanafichwa tu kwakuwa Sisi siyo maarufu ( Celeb / Public Figure ) kama alivyo Yeye lakini kama nasi Yetu ' yangechimbuliwa ' pengine huyo Spika Ndugai angekuwa na nafuu.
Tupunguze sana Unafiki wa Kisiasa na Majungu!
Kila la kheri.
Elewa kuwa hizo ni haki zao na sio hisani. Si fedha zake wala za ccm. Uwe unafikiri kdg kwa kutumia hiyo 'akili ndogo uliyojaaliwa'Kweli nyie hamna shukrani..pamoja na nafasi na fursa zote alizowapa sitta hadi kutengwa na wenzie bado mnamuona hafai..kweli tenda wema uende zako
Ukiona hivyo jua hakika siku zake za kuishi zinahesabika, tusubiriMatendo na maamuzi ya huyu spika juu ya madhila, magonjwa na maafa ya wabunge wa upinzani yanatia shaka juu ya ubinadamu wake. Na hata watu wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuhoji kama kweli spika huyu anamjua Mungu ama la!
Ndugai alikataa kumtibu Lisu
Ndugai alikataa kumtibu Heche.
Ndugai alikataa kumtibu marehemu Bilago
Ndugai amekataa kumzika marehemu Bilago
Mungu anamuona spika Ndugai...
Tumefikia huko kweli? Hivi spika Ndugai akimaliza uspika wake atajivunia ujenzi wa ubaguzi kwa wapinzani? Haya bhana sawa!
Haiingii akilini kwamba anawanyima misaada ya kiutu ambayo imeidhinishwa kisheria wabunge wa upinzani pasipo huruma wala woga.
Nini chqnzo cha kiburi hiki cha Ndugai? Hivi Ndugai anafahamu kwamba kuna Mungu? Au mwenzetu anajiona yupo juu ya mamlaka na uwezo wa Mungu?
haki zako unataka uekewe mapajani dai haki acha unyonge wa kikeElewa kuwa hizo ni haki zao na sio hisani. Si fedha zake wala za ccm. Uwe unafikiri kdg kwa kutumia hiyo 'akili ndogo uliyojaaliwa'
Haki haiji bila wajibu..timiza wajibu upewe haki..kila jambo lina utaratibu..bunge sio ofisi ya ufipa nduguElewa kuwa hizo ni haki zao na sio hisani. Si fedha zake wala za ccm. Uwe unafikiri kdg kwa kutumia hiyo 'akili ndogo uliyojaaliwa'
Unaonekana ni mfuatiliaji mzuri sana wa mambo haya, uko deep kinomanoma!Hawa Chadema wamezidi sana kulalama. Wanafanya ujinga kisha wanakimbilia mtandaoni.
Bunge limetoa ratiba ya mazishi Chadema wamefanya siasa.
Lisu kajipeleka mwenyewe Nairobi na Ubelgiji anataka serikali imlipie.
Hawafuati utaratibu halafu wanageuka kulaumu serikali.
Na watanyooka tu.
wajibu walitimiza shida ni mfumo ila mi naungana nawewe kuwataka watumie msuli kwakua CCM yaleo haiwezi kutoa ela zake kirahisi kuwatibu chadema halafu wakipona wamtusi Malaika jiweHaki haiji bila wajibu..timiza wajibu upewe haki..kila jambo lina utaratibu..bunge sio ofisi ya ufipa ndugu