Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

Kwahiyo wakurugenzi wasimzidi mkewe mshahara??.
Yeye anajua limitation za uspika wake?
Au anajiona anaweza ropoka chochote?
Mhe. Rais kama anasikiliza aanze kwa kumuondoa Mke wa Ndugai kama DED wa Bahi Dodoma, Ndugai hana ethics za kazi kabisa kwa kila jambo kulifananaisha na maslahi ya mkewe. Upuuzi sana huu.
 
Yeye anaongelea mkurugenzi yupi wa Tarura na Ruwasa.
Hakuna cheo hicho TARURA NA RUWASA, mbali vyeo vyao ni District manager na Regional coordinator, mishahara yao ni midogo kuliko DED.
Wabunge na Madiwani wamekasirika kwa sababu TARURA na RUWASA wanajiendesha kwa uhuru kuliko walivyokuwa ujenzi na idara ya maji katika halmashauri.
 
Duh huyu si inasemekana yule DED wa BAHI ndio Bi Mkubwa wake, na nimeona CAG katoa angalizo kwenye hii Wilaya? Au ndio kupigia Debe akiongezewa Tumshahara then atapata HATI safi ya CAG? 😂😂😂😂😇😇😇😇 Ni wazo tu wajumbe
 
Mhe. Rais kama anasikiliza aanze kwa kumuondoa Mke wa Ndugai kama DED wa Bahi Dodoma, Ndugai hana ethics za kazi kabisa kwa kila jambo kulifananaisha na maslahi ya mkewe. Upuuzi sana huu.
CCM walibugi sana kumchagua huyu jamaa wa kigogo kama Spika...Very very shallow minded🤩
 
Dunia haijawahi kuishiwa vituko,ama kweli wanasiasa wana ndimi 2.huyu huyu ninaemjua ama?acheni kumsingizia jamani.au nimesema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…