Spika Ndugai wachukulie hatua wabunge waliohojiwa na kituo cha Televisheni cha nchi jirani

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Ni hatari kwa usalama wa taifa ukizingatia kwamba wabunge wale hawakwenda official visit wakaalikwa kwenye kituo cha tv cha nchi jirani na kuanza kuongea bila mpangilio hivyo kujikuta wanaongea habari za ndani ya nchi bila wao kujijua wakati wanajibu maswali ya kichokozi ya mwandishi.

Chukua hatua agwe tunaoelewa tutaelewa wasioelewa watalaumu
 
ni hatari kwa usalama wa taifa ukizingatia kwamba wabunge wale hawakwenda official visit wakaalikwa kwenye kituo cha tv cha nchi jirani na kuanza kuongea bila mpangilio hivyo kujikuta wanaongea habari za ndani ya nchi bila wao kujijua wakati wanajibu maswali ya kichokozi ya mwandishi.....chukua hatua agwe tunaoelewa tutaelewa wasioelewa watalaumu
Wewe ulitakaje?
Ulitaka waombe kibali cha spika wa bunge kwanza kabla ya kuzungumza maoni yao?
Toka lini uhuru wa kuzungumza ukawa na kibali?
Tanzania tuna siri gani za kuficha kwenye siasa zetu?
Tusiche kwa faida ya nani?

Kama Nyerere alisafiri toka Tanganyika mpaka umoja wa Mataifa kule Marekani kwenda kuzungumza mambo ya watanganyika bila kibali chochote cha gavana wa kikoloni na hata aliporejea nchini hakuna mkoloni aliyehoji au kumtisha kwa kufanya hilo, nini cha ajabu kwa sasa kwa wabunge kuongea na vyombo vya habari nje ya nchi?
 
Nkianza kumuombea raisi wangu ntakuombea na wewe..
 
hukua na sababu za kuchangia mkuu haya mambo hayahitaji hasira yapo yote kwenye misaafu rejea taratibu na kanuni mkuu
 
ni hatari kwa usalama wa taifa ukizingatia kwamba wabunge wale hawakwenda official visit wakaalikwa kwenye kituo cha tv cha nchi jirani na kuanza kuongea bila mpangilio hivyo kujikuta wanaongea habari za ndani ya nchi bila wao kujijua wakati wanajibu maswali ya kichokozi ya mwandishi.....chukua hatua agwe tunaoelewa tutaelewa wasioelewa watalaumu
Kwa Sheria zipi?
 
Kwani kuna siri gani? Kusema kuwa bunge limetekwa na serikali Tanzania ni siri? Jaribu zaidi kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika vinginevyo unadharaulika.
 
Pitia sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996.....isome tartiiiibu.
 
ni hatari kwa usalama wa taifa ukizingatia kwamba wabunge wale hawakwenda official visit wakaalikwa kwenye kituo cha tv cha nchi jirani na kuanza kuongea bila mpangilio hivyo kujikuta wanaongea habari za ndani ya nchi bila wao kujijua wakati wanajibu maswali ya kichokozi ya mwandishi.....chukua hatua agwe tunaoelewa tutaelewa wasioelewa watalaumu
Dunia ya leo hakuna siri tena. Ukitaka magazeti unapata mitandaoni. Ukitaka yanayojiri bungeni unapata mtandaoni. Siri ni nini na iko wapi? Huenda siri iko usalama wa taifa na jeshi la wananchi kwa kiasi fulani. Waliyozungumza hao wabunge ni mambo ya wazi kabisa na sio ya siri.
 
Wewe ulitakaje?
Ulitaka waombe kibali cha spika wa bunge kwanza kabla ya kuzungumza maoni yao?
Toka lini uhuru wa kuzungumza ukawa na kibali?
Tanzania tuna siri gani za kuficha kwenye siasa zetu?
Tusiche kwa faida ya nani?

Kama Nyerere alisafiri toka Tanganyika mpaka umoja wa Mataifa kule Marekani kwenda kuzungumza mambo ya watanganyika bila kibali chochote cha gavana wa kikoloni na hata aliporejea nchini hakuna mkoloni aliyehoji au kumtisha kwa kufanya hilo, nini cha ajabu kwa sasa kwa wabunge kuongea na vyombo vya habari nje ya nchi?
Kuntu hiyo kuwahi kutokea
 
Hivi bbc ni chombo cha Tanzania au DW?
Ni kweli Magufuli aliikimbia BBC, labda sababu ya lugha, lakini je wabunge na mawaziri wangapi wamehojiwa na BBC, DW au Al-Jazeera? Kwa nini kuhojiwa na KTN iwe nongwa? Hata Ndugai mwenyewe amewahi kuhojiwa na vyombo hivyo. Huu ni muendelezo wa ushahidi kuwa kiwewe kizito kimewakumba walioratibu na kutekeleza jaribio la kigaidi la kutaka kumuua Mh. Tundu Lissu. Laana inawatafuna na iwatafune hadi muanze kuokota makopo!
 
Back
Top Bottom