K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,270 Reaction score 13,903 Sep 2, 2022 #1 Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,435 Sep 2, 2022 #2 Atakumbukwa pia kwa kumtandika mpinzani wake bakora mpaka akazima wakati wa uchaguzi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,352 Sep 2, 2022 #3 Ametupwa Huko, Hasikiki
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,640 Reaction score 65,112 Sep 2, 2022 #4 Umesahau picha ya rais wa Mbeya a.k.a Sugu. Yote haya aliyasababisha Ndugai
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,587 Reaction score 42,904 Sep 2, 2022 #5 Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa
Nakikumbuka alivyomrudisha kihuni Bw. Cecil Mwambe pale Bungeni huwa naona huyu jamaa alikuwa zero brain kabisa