Taratibu zilianza kuvunjwa tokea dodoma,medical team kwenda kwa ambaye akufuata taratibu au ilishawahi tokea kwa nani medical team kwenda alipolazwa mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
taratibu za kiutumishi zitafuatwa na lissu atapatiwa mshahara wake kwani ni haki yake ya msingi hakuna anayeweza kuzuia mshahara wake ni kasoro ndogo ndogo zimejitokezaAnaandika #Bollen_Ngeti
SPIKA NDUGAI ANATAKA LISSU AFE??
KITENDO cha Bunge la Ndugai kumfutia mshahara na posho zingine za kibunge Tundu Lissu ni unyama na ushahidi wa dhahiri kuwa Spika Job Ndugai akibanwa anaweza walau kusaidia kujua waliopanga kumuua kwa mabunduki Lissu September 7, 2017.
Mwanzoni nilijua ni kauli tu za kisiasa lakini kwa Ndugai kuamua kweli kumfutia mshahara Lissu ni jaribio jingine la kutaka kumuua Lissu na safari hii naona wanataka afe kwa njaa na familia yake.
Risasi 16 zilishindikana kumuua Lissu baada ya Mungu kusimamia "show". Jaribio la pili lilikuwa ni kumfutia dhamana ili akamatwe na Interpol aswekwe ndani na magongo yake na majeraha. Hakika angekufa kwa mateso na uchungu. Hili nalo Mungu akaepusha. Mahakama ikakataa. Safari hii naona njia sahihi iliyochaguliwa ni kumfutia mshahara Lissu ili afe kwa njaa, watoto wasiende shule, ndugu tegemezi waathirike. Huku ni kumuua Lissu na ni uthibitisho kuwa nguvu ya kummaliza Lissu ni kubwa mno kiasi kwamba bila Mungu Lissu si kitu!
Ndugai anadai hajui aliko Lissu na anafanya nini huko asikojua. Ndugai akumbushwe tu kwamba Lissu yuko hospitali huko Ubelgiji akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risaso 38 na 16 kumuingia mwilini na hivi karibuni amemaliza kufanyiwa upasuaji wa 23. Anasubiri uamuzi wa madaktari kumruhusu kutoka au la!
Lissu ni Mtanzania kama wewe na mimi. Ana ndugu, jamaa na marafiki hata ndani ya Mafikizolo, Chadema, Inzile, Gweregwere, CUF, jeshini, TISS, vyuoni, Magogoni nakadhalika! Tumuombee apone ili awatumikie wananchi wake. Tofauti zetu kisiasa zisitutofautishe hadi kufikia kuuana kwa njaa. Wabunge wote unganeni kumpinga Ndugai, pigeni kelele hadi nchi za mbali kupinga uamuzi huu wa Ndugai. Kumbukeni wakimmaliza Lissu watakugeukieni na ninyi. Hakuna aliye salama kwa sasa!
#AchaWoga2020
Raha ya mdahalo kama huu ukiulizwa jibu ndio uulize sio ujibu halafu unaniulizaHicho kikao cha Dodoma nani alikuwa Mwenyekiti wake?
Uongozi mzima wa Mjengoni ulikuwepo.
So Baada ya pale tulianza kuonyeshwa Siasa za kibabe ktk Taarifa/matamko.
Kama kweli mheshimiwa Tundu Lissu amesimamishiwa au kuondolewa mshahara wake huo ni ukatili uliuopitiliza.Mh Lissu si bado anatibiwa? Hivi kuikosoa serikali ni uhaini au kosa la jinai?Anaandika #Bollen_Ngeti
SPIKA NDUGAI ANATAKA LISSU AFE??
KITENDO cha Bunge la Ndugai kumfutia mshahara na posho zingine za kibunge Tundu Lissu ni unyama na ushahidi wa dhahiri kuwa Spika Job Ndugai akibanwa anaweza walau kusaidia kujua waliopanga kumuua kwa mabunduki Lissu September 7, 2017.
Mwanzoni nilijua ni kauli tu za kisiasa lakini kwa Ndugai kuamua kweli kumfutia mshahara Lissu ni jaribio jingine la kutaka kumuua Lissu na safari hii naona wanataka afe kwa njaa na familia yake.
Risasi 16 zilishindikana kumuua Lissu baada ya Mungu kusimamia "show". Jaribio la pili lilikuwa ni kumfutia dhamana ili akamatwe na Interpol aswekwe ndani na magongo yake na majeraha. Hakika angekufa kwa mateso na uchungu. Hili nalo Mungu akaepusha. Mahakama ikakataa. Safari hii naona njia sahihi iliyochaguliwa ni kumfutia mshahara Lissu ili afe kwa njaa, watoto wasiende shule, ndugu tegemezi waathirike. Huku ni kumuua Lissu na ni uthibitisho kuwa nguvu ya kummaliza Lissu ni kubwa mno kiasi kwamba bila Mungu Lissu si kitu!
Ndugai anadai hajui aliko Lissu na anafanya nini huko asikojua. Ndugai akumbushwe tu kwamba Lissu yuko hospitali huko Ubelgiji akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risaso 38 na 16 kumuingia mwilini na hivi karibuni amemaliza kufanyiwa upasuaji wa 23. Anasubiri uamuzi wa madaktari kumruhusu kutoka au la!
Lissu ni Mtanzania kama wewe na mimi. Ana ndugu, jamaa na marafiki hata ndani ya Mafikizolo, Chadema, Inzile, Gweregwere, CUF, jeshini, TISS, vyuoni, Magogoni nakadhalika! Tumuombee apone ili awatumikie wananchi wake. Tofauti zetu kisiasa zisitutofautishe hadi kufikia kuuana kwa njaa. Wabunge wote unganeni kumpinga Ndugai, pigeni kelele hadi nchi za mbali kupinga uamuzi huu wa Ndugai. Kumbukeni wakimmaliza Lissu watakugeukieni na ninyi. Hakuna aliye salama kwa sasa!
#AchaWoga2020
Kama una kumbukumbu nzuri kipindi jk anaunwa tezi dume mbona alihojiwa na waandishi wa habari wakati alikuwa bado hajapona?Akujazuia ina maana kapona kwanini asirudi kufanya kazi za kibunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew umepata wapi izo taarifa au ndo mahaba kwa lissu yamezidiTaarifa zinazofahamika ni kwamba Job Ndugai ni miongoni mwa walioshiriki kikao cha kupanga Mauaji ya Lissu
Teh teh teh.Kama una kumbukumbu nzuri kipindi jk anaunwa tezi dume mbona alihojiwa na waandishi wa habari wakati alikuwa bado hajapona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatumuonei nayeye ni shetani.Ndugai a.k.a. chimbinyiko mnamuonea bure yeye anatumwa tu na Shetani .
HawaweziMkuu lengo lilikua ni kumfunga mdomo nankumrudisha home mzururaji. Nafikiri lengo limetimia
Wewe kada ngoja nikuulize swali, je sheria hizo zinawahusu watu wa upinzani pekee??Taratibu na kanuni haziangalii sura usipozifuata kufa tu tutakuzika.
Tunajua ila tunaanza na huyu mgogo aliyeleta akili zilizooza.Mimi nina Imani kuwa Sio Ndugai pekeee hamuwaoni hao hapo gizani nyuma ya Spika. Mbona mimi nawaona.
Anatumika kama changudoa... aulize waliopita na kuacha madaraka watamwambia kesho ya ubaya ikojeYupo anayeijua? Kumbe wepesi hivi, maana maneno yanawatoka hatari
Kumbe nyie mmekwazika na zile 'interviews' za Lissu? Mnataka muongee nyie tu! Haya bhana furahini sasaAlifuata utaratibu na hata alivyopona akuwa anazunguka kwenye interviews marekani,uingereza na ujerumani au ulimuona kwenye interview ughaibuni?
Njaa mbaya sana na haina baunsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
najua unaelewa unajitoa akili tuu. Ofisi inautaratibu wake unaoratibiwa na kanuni.Kwahyo ofisi ya bunge haina watu mahiri wa kujua mbunge yupo wapi? Kama mbunge anaishi mwenyewe na akapatwa na umauti bunge halitajua?
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo linakujaKama hajui aliko siku zote hizo.kwa nini havuliwi Ubunve kama Nassari...!?
Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.
Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app