Spika Ndugai unataka Lissu afe?

Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.

Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kazi ya nusu saa bungeni kwa huyu mbunge mmoja ni sawa ya waliobaki kama 200 kwa miaka 10.Ndio maana akiinuka kuchangia kilamtu husikiliza kwa makini.
 
Kwahyo ofisi ya bunge haina watu mahiri wa kujua mbunge yupo wapi? Kama mbunge anaishi mwenyewe na akapatwa na umauti bunge halitajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya nusu saa bungeni kwa huyu mbunge mmoja ni sawa ya waliobaki kama 200 kwa miaka 10.Ndio maana akiinuka kuchangia kilamtu husikiliza kwa makini.
Kwaiyo unataka kusemaje? Sijakuelewa

Apewe pesa bila utaratibu kwasababu lissu na alivyokosekana bunge limesimama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hakika, japo hatustahili kuhukumu, Ndugai ni shetani katika umbo la binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…