Spika Ndugai unataka Lissu afe?

Mkuu lengo lilikua ni kumfunga mdomo nankumrudisha home mzururaji. Nafikiri lengo limetimia
 
Jamani ndugai hajasema hajui lissu aliko! Ofisi ya spika(bunge) haina taarifa Mbunge wa Singida Mashariki alipo. Tofautisha Ndugai na Ofisi ya Spika(bunge). Ofisi inao utaratibu wake wa kufahamishwa. Na ufahamu kuwa Ndugai hana bunge, bunge ni la Tanzania.
 
good enough ni kuwa hata ccm wenyewe watagawanyika kwa hili... nami napenda iwe kweli ili lisu aanze kupokea pesa za charity ambazo Jiwe na serikali yake wamenyimwa na wataapata taabu sana..
 
Hivi kama wamezuia mshahara na posho, nadhani bado kumvua ubunge tuu

Pia hao viongozi wanaojipangia mishahara minono na posho za kutosha wakitembelea magari yenye viyoyozi na kuishi majumba ya kifalume huku wapiga kula wakirundikiwa kodi, na kuishi maisha ya kuunga unga, Mungu anawaona mwisho wao upo tu

Halafu Kwenye camera unasikia tanasema uchumi umezidi kuimarika,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo aliyefutiwa posho huishi katika nyumba gani?
 
Mkuu lengo lilikua ni kumfunga mdomo nankumrudisha home mzururaji. Nafikiri lengo limetimia
Kama aliweza kwenda mataifa ya nje na kufanyiwa mahojiano na vyombo vya habari anashindwaje kurudi TZ na kufatilia maslahi yake.
 
Kama ndio dhamira yake hiyo ,hiyo Ndugai atakufa yeye na anayemtuma ,Lissu yupo tu hivi hizo risasi zenu 16 halafu mtu akapona hazijawaundisha tu .
 
Ndungai na bunge zima nawapongeza kwa kufuata taratibu na kanuni walizojiwekea.

Haiwezekani mtu anakula posho na mshahara ambao ajaufanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimrod Mkono, Ndugai, prof Mwandosya nk nk ni miongoni mwa wabunge wa CCM waliokaa nje ya nchi huku wakilipwa. Na hujanung'unika, iweje nongwa kwa Lissu ???!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai naye zamu yake ya kusulubiwa inakaribia... haiko mbali!
 
Du! Wao watakufa pia kabla ya lissu!




Kwa namna yeyote ile ukitazama kwa jicho la tatu nayaona madhara makubwa sana kuliko hata mshahara anaopata TAML(Tundu Andipas Mugwai Lissu) kunyinwa huu mshara wake. Mioyoni mwa watu tunajenga Mlima mkubwa sana wa chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…