Spika Ndugai:Tukimtaka Makonda hachomoki

Ndugai kakosea hiyo kauli yake inapotosha! Isitoshe hiyo kauli hatoi picha ya iwapo mtuhumiwa atatendewa haki
 
habar wakuu,
Leo hii amenukuliwa Spika Job Ndugai akidai kwamba wakimtaka Makonda hachomoki,..hapo sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli kati ya bunge na serikal..kwan taarifa zilizopo ni kwamba rais Maguful amemzuia Makonda kuitikia wito wa kamati ya bunge ya maadili

source:Tanzania Daima
Tanzania Daima sio gazeti la kulitegemea sana kwa sababu mrengo wake unaeleweka, Naamini sii kweli kuwa rais Magufuli amemzuia Makonda kuhojiwa na Bunge kwa sababu rais hana málaga hiyo. Ninachofahamu Makonda bado hajaitwa na Bunge wala hajawahi kuitwa mahakamani akagoma kwa sababu wito rasmi wa Bunge au Mahakama huletwa kwa samamsi inayotumwa kwa despach ambayo ni hand delivery na anapokea na kusaini kupokea. Siku ya siku asipotokea, anatumiwa arrest warrant anabebwa mzobe mzobe!.

Kuna vingi vya uongo kuhusu kadhia hii ndio maana nilisema hivi https://www.jamiiforums.com/threads...di-ya-mafanikio-yake-makonda-wapuuze.1208888/

Paskali
 
Back
Top Bottom