Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

Ni upumbavu kujigamba umechaguliwa wakati maujinga mengi mara kuiba kura, mara kuwaengua wagombea wa upande wa pili, mara kuruhusu wabunge wasio na chama ni ujinga, jitafakari.
 
Umeungana na Ma Zuzu wa Kongwa
 
Mbona ni jina zuri tu linamfaa tozo zote si wamepitishia huko akakubali, sheria gandamizi ya vyama vya siasa zimepitia kwake hivo ndivo historia itakavyomkumbuka wala asikasirike
 
Ndugai usilalamike kabisa kwanza wewe ndio chanzo cha matatizo ya bunge kuonekana hivyo!
Hata suala la Komred Assad wewe ndie mharibifu wa taratibu na kanuni za CAG.
Hata bunge unaloliongoza limekuwa kituko kuliko kipindi chote tangu lianzishwe!
Iwapo amepelekea bunge kukosa kuheshimika basi ni zaidi ya zuzu... Ni ZOBA
 
Yale matokeo ya mahojiano na Asad akasema hata fanya kazi nae ilikuwa maamuzi ya kizuzu pia maana hayakuwa na maana yoyote

Ndugai ni zuzu kitambo tu
 
Kama sabufa sio zuzu atuonyeshe alichofanya kongwa kwa miaka 25.
Maji bado wananchi wanabeba na punda
 
Dalili ya uzuzu ni kutoheshimu katiba aliyoapa kuilinda.
 
Hawa wote Assad , Jenerali Ulimwengu pamoja na Ndugai wote akili zao ziko sawa, sijui niwaite kama aliyekuwa msemaji wa wekundu wa Msimbazi alivyowaita waandishi wa habari?
 
Uzuri wa Assad sio mnafiki au muoga.......kipindi kile kile Ndugai akiwa na mtetezi wake bwana mwendazake pro.bila uoga alimwita Job na bunge lake kuwa dhaifu ,na hivi mtetezi wake hayupo akae kwa kutulia tuu na ataitwa majina yoote
 
Umechaguliwa na watu 400K wa aina gani? Wakati uliiba kura wewe Ndugai, ukapiga mtu kwa fimbo, akakaribia afe. Wewe hukushinda katika kipindi kilichopita, uliiba kura wewe Ndugai.
 
Ndio ujie anajiamini na ana character mpaka amesema ukweli mwenyewe na kueleza jamii kilicho kweli kuhusu yeye ... Mpaka hapo Jana baya
 
😂😂😂
 
Ndungai ni zuzu tu maana mambo yake yamejaa kizuzu tu
 
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa. “Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata.

Ndio kupita bila kupingwa huku?

 
Hivi Farah Aideed amewahi kuongoza nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…