chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,334
- 1,318
Ni upumbavu kujigamba umechaguliwa wakati maujinga mengi mara kuiba kura, mara kuwaengua wagombea wa upande wa pili, mara kuruhusu wabunge wasio na chama ni ujinga, jitafakari.
Umeungana na Ma Zuzu wa KongwaProf. Jafar ( Musa) Assad atapigwa rungu moja kwishaaa, Ndugai anapiga, mpeni tahadhari plz
Prof Jafar Musa naye zuzu kubwa sanaa kazi kuiba majina ya watu tu, alafu huyu Prof afanyiwe vetting upya. Kafoji jina kachukua jina la mtu mwingine, kumbe yeye sio Musa ni Jafar, kasema mwenyewe, hapa kuna case ya kujibu kubwaa
Iwapo amepelekea bunge kukosa kuheshimika basi ni zaidi ya zuzu... Ni ZOBANdugai usilalamike kabisa kwanza wewe ndio chanzo cha matatizo ya bunge kuonekana hivyo!
Hata suala la Komred Assad wewe ndie mharibifu wa taratibu na kanuni za CAG.
Hata bunge unaloliongoza limekuwa kituko kuliko kipindi chote tangu lianzishwe!
Wewe mbw bado upo nilifikiri umeshaondolewa na Covid 19?watu wamekuwa marais na bado wakawa mazuzu wakigawa hela majukwaani,sembuse ubunge?!
Dalili ya uzuzu ni kutoheshimu katiba aliyoapa kuilinda.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Hawa wote Assad , Jenerali Ulimwengu pamoja na Ndugai wote akili zao ziko sawa, sijui niwaite kama aliyekuwa msemaji wa wekundu wa Msimbazi alivyowaita waandishi wa habari?Kweli kila zama na kitabu chake. Leo hii Ndugai anapiga yowe bila kuchukua hatua zidi ya Assad,ingekuwa kipindi cha Kayafa sasa hivi Assad angekuwa mikononi mwa Polisi kwa amri ya Ndugai. Haya ni maneno ya Ndugai.
"Kuna Mzee anatukosea sana Wabunge,anatuita mazuzu,nina miaka 25 pale Kongwa na vipindi viwili nimepita bila kupingwa,na hata kesho nikienda nitapita bila kupingwa,kwanini uniite zuzu? Wananchi wa Kongwa ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?"
Credit: Dar Mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechaguliwa na watu 400K wa aina gani? Wakati uliiba kura wewe Ndugai, ukapiga mtu kwa fimbo, akakaribia afe. Wewe hukushinda katika kipindi kilichopita, uliiba kura wewe Ndugai.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Ndio ujie anajiamini na ana character mpaka amesema ukweli mwenyewe na kueleza jamii kilicho kweli kuhusu yeye ... Mpaka hapo Jana bayaProf. Jafar ( Musa) Assad atapigwa rungu moja kwishaaa, Ndugai anapiga, mpeni tahadhari plz
Prof Jafar Musa naye zuzu kubwa sanaa kazi kuiba majina ya watu tu, alafu huyu Prof afanyiwe vetting upya. Kafoji jina kachukua jina la mtu mwingine, kumbe yeye sio Musa ni Jafar, kasema mwenyewe, hapa kuna case ya kujibu kubwaa
😂😂😂Kweli kila zama na kitabu chake. Leo hii Ndugai anapiga yowe bila kuchukua hatua zidi ya Assad,ingekuwa kipindi cha Kayafa sasa hivi Assad angekuwa mikononi mwa Polisi kwa amri ya Ndugai. Haya ni maneno ya Ndugai.
"Kuna Mzee anatukosea sana Wabunge,anatuita mazuzu,nina miaka 25 pale Kongwa na vipindi viwili nimepita bila kupingwa,na hata kesho nikienda nitapita bila kupingwa,kwanini uniite zuzu? Wananchi wa Kongwa ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?"
Credit: Dar Mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndungai ni zuzu tu maana mambo yake yamejaa kizuzu tuSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa. “Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata.
Hivi Farah Aideed amewahi kuongoza nchi gani?Kweli kabisa, ukiitwa Juma ni sawa na senge hivi.. Jina la hovyo sana na la kimaskini kabisa.
CAG Jafar Musa Assad njoo huku, umezidi kutoa maneno machafu, mzee mzima jina lenyewe feki, kumbe sio Musa ni Jafar.
Ila Prof wengine kichwani akili hakuna kabisa, kama Juma tu