Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Huyu dogo kuba kitu amefanya ili kujitofautisha na wenzake lakini ni njia ile ile ya kuunga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kati ya mwalimu na mwanafunzi ni yupi anawajibika kumuomba udhuru mwenzake?
Barua zinaenda kwa kufuata protocols na kanuni usifikiri barua za kiserikali zinaandikwa tu, protocols zinamtaka Mbunge awajibe kwa spika ambae ndio kiongozi wake kuhusu mambo yanayomuhusu yeye Mbunge, sio spika ndio awajibike kwa Mbunge.
Hiki kitu simple sana wala hauhitajiki akili nyingi.
Kumbe hujaona wazee wa arumeru walivyomlalamikia!..Una uhakika jimboni kwake haonekani? Je kuna malalamiko rasmi kutoka kwa waliomchagua? Bado hii sheria ina walakini, haiwezekani mbunge kama Sugu amechaguliwa na wananchi zaidi ya laki tatu halafu mtu mmoja tuu anamfuta ubunge wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni ChademaAwe muwazi kuliko kupotezea watu muda. Tuna mambo muhimu meng
Nisaidieni,At least to its minimum angefuata procedure za kumsikiliza na kumjulisha hiyo nia yake ya kumvua ubunge. ......bas hata barua angepewa yeye kwanza. ...
Mr speaker. .... vipi angekuwa wa chama chako, Ungefuata utaratibu huo?
Anyways... bado namuona Nassari anayo shida ya msingi kabisa. ..
9 month bila kwenda kazin. ....dah.....
Mahakamani huwezi ukaenda na ushahidi wa barua ambayo haijasainiwa.Kama alivyomshauri Lissu, kama kweli Nasari is serious, I mean isijekuwa janja ya kuunga mkono juhudi, aende mahakamani ili sote tujue mbivu na mbichi. Mfano kiongozi yeyote anayejua protocols as you claim angemuandiia barua rasmi Nasari juu ya kuvuliwa ubunge badala ya kukimbilia kumuandikia mwenyekiti wa tume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni msajili wa mahakama? Anaweza kufungua kesi kupinga taratibu za kufutiwa ubunge na shauri likapokelewa. Kwenye kesi ya msingi ndo tutajua kuhusu uhalali wa barua kutokuwa signed au la...Mahakamani huwezi ukaenda na ushahidi wa barua ambayo haijasainiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili suala hata kama Ndugai ana matatizo na wabunge wa Upinzani,kwa hili Nassari anabeba lawama 99%...Hata taarifa tu alishindwa kuandika na kwasilisha kwa dispatch? Nassari asifanye watu wajinga kama anaunga mkono juhudi aende tu kama wenzake.Kalifanya jambo kiswahili sana, hata viongozi wake wa upinzani hakuwaambia ili wakamwakilishe bungeni!!.. Yani siku 90 haupo kazini kama vile mtoto alikuwa ICU daily na wewe ndio daktari wake!.
Hii teknik iliyotumika this time ni ya kisheria kwakweli!!..
Chadema wamvue Uanachama kabisa.Hawa vijana wakishapata vyeo wanajifanya wapo busy kuliko kuwawakilisha wananchi waliowapa hivyo vyeo.Tunaishi kwa mazoea sana.
Unafahamu hali ya siasa ilivyo kwa sasa nchini halafu bado unafanya kosa la kizembe namna hii kwa kutegemea huruma ya wananchi. Huu ni uzembe wa kiwango cha lami.
Katika uwanja wa vita kitu muhimu ni kumjua adui yako ili ujue utatumia mbinu zipi kukabiliana nae. Je,ina maana hata vitu vidogo kama hivi alishindwa kuvijua? Chama kinawajibu gani kwa wabunge wake ambao wanaonyesha utovu wa nidhamu kwa namna hii?
Akili inakataa kabisa kwamba huyu Mheshimiwa alikuwa hajui kama hili ni kosa, hapa ndio akili za 'Mbayuwayu' zinapotakiwa kutumika.
Mwaka mzima ajatokea na hii ilikuwa mwaka gani?
Du kumbe wewe ni mdada?Nimeshatilisha Mimba kwa zaid ya Miaka 40 na sasa nakula Penshen
Mimba ya Mwisho nimetilisha wakati huo Rais wa Marekan Ni Bill Clinton Na Rais wa Kenya Ni Daniel Arap Moi
Dua yako ime expire tayari kabla hujamaliza kuomba
Umeambiwa miezi 9 kama ujaelewa uliza mkuu.
Mwaka mzima ajatokea na hii ilikuwa mwaka gani?
Mungu akupe nguvu! Hivi bado unamaani kua hiyo barua inaweza kua utetezi mahakamani? Au unadhan kua wanaosaini barua na kuzipeleka kwa dispatch ni wajinga.Wewe ni msajili wa mahakama? Anaweza kufungua kesi kupinga taratibu za kufutiwa ubunge na shauri likapokelewa. Kwenye kesi ya msingi ndo tutajua kuhusu uhalali wa barua kutokuwa signed au la...
Sent using Jamii Forums mobile app