YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Hasomi alama za nyakati anabadilika Kama kinyonga Magufuli alimpa Hadi mtaa Dodoma unaitwa Ndugai street akampa soko Dodoma linaitwa soko la Ndugai Dodoma akampa Hadi Stendi kuu ya mabasi inaitwa Stendi ya Ndugai kumbe kinyonga na Tapeli mnafiki mkubwa kufa Magufuli kafanya U Turn kubwaNdugai hashindwi kitu akiamua broo inategemea muhimili wa serikali utamuambia nini
Anyway kifupi team Magufuli tunaojielewa tulisimama naye from day one na hatuji kumsaliti
Kafa ok kila mtu atakufa ila Magufuli hatuthubutu kumsaliti Kama Hawa wanafiki waliogeuka ghafla kumponda kwa maslahi ya muda mfupi
Ndugai of all the people Ndugai wa kugeuka na kumsaliti Magufuli kweli
Anyway Mungu yupo na asimame atoe hukumu ya Haki kwa Ndugai kwa uovu wake aliomtendea Magufuli marehemu .Ila Ndugai ajue Magufuli kafa lakini wafuasi wake tupo Tena wengi kweli kila Kona .Hawezi kutudhalilishia mtu aliyembeba hasa .Kama kazoea unafiki na undumila kuwili kwa umri ule alionao na Hali aliyonayo kachemka