Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
CCM ni laana tupu
unaelewa uhuru wa mihimili ya serikali?Yale yaliyotokea Bungeni leo katika azimio la kuwafukuza Wabunge wa upinzani toka CHADEMA Bi Halima Mdee na Bi Esther Amos Bulaya ni kuonyesha kwamba Bunge chini ya Ndugai hawajui kama CHADEMA wana msiba mkubwa wa mwasisi wa chama chao Mbunge mstahafu ndugu Philemon Ndesamburo!
Hii imedhihirisha kuwa CCM wanawachukia wapinzani hasa CHADEMA na wanatamani hata leo hii Wabunge wote wa CHADEMA wapukutike wote!
Haiwezekani Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge itoe mapendekezo ya adhabu hii kwa Wabunge hawa 2 walioko kwenye msiba huu mkubwa?
Nimesikiliza mapendekezo ya Kamati iliyoungwa mkono na asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM! Inasikitisha kwamba Spika Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati Mzee George Mkuchika hawakugusia chanzo cha tatizo lililopelekea vurugu hizo! Mbunge wa CCM aliwasha mic na kusema MNYIKA MWIZI,lakini si Spika wala Mkuchika aliyeonyesha juhudi za kumsaka huyo Mbunge wa CCM aliyeropoka hayo maneno! Spika anasema hawezi kuwa na masikio 100 ya kusikia kila Mbunge anachosema!!!Huu ni uongo wa Ndugai na ameonysha double standard, maana hayo maneo yangelisemwa na Mbungevwa upinzani leo asingelikuwa Bungeni! Mwenyekiti anadai kuwa swala la kujua chanzo au Mbunge aliyemwita Mnyika Mwizi haikuwepo kwenye hadidu za rejea!! This is rubbish! Kamati inasema iliangalia mkada wa video ili kujiridhisha kwa makosa ya hao Wabunge,inashangaza kuwa Kamati haikuona yote yaliyotamkwa na kichaa wao Lusinde na huyo aliyemwita Mnyika mwizi!!
Namaliza kwa kushauri Bulaya na Mdee waende Mahakamani maana haiwezekani Bunge liwe ni kila kitu! Kama Polisi wanakamata Mbunge na kumsweka Rimande na kushtakiwa Mahakamani iweje Mbunge akienda kulalamika Mahakamani aambiwe Mahakama haina mamlaka hayo??
Je, hivi leo ikitokea Mbunge akapigwa na Mbunge mwenzake wakiwa ndani Bunge akapoteza uhai, Bunge kwa kutumia Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge wana uwezo wa kusikiliza murder au manslauter case??
Mdee,Bulaya na Mnyika tafuteni Haki yenu Mahakamani, Bunge is not a final judiciary machinery!!!
Kama huyo Speaker alipata ubunge Kwa kumpiga mtu na fimbo bado tukaona anafaa kuwa Speaker, basi tumeleta laana katika Muhimili huu Muhimu.
mkuu,usipoteze calories zako kuelimisha majitu ya hovyo hovyo kama haya ya Chadema.Tabu yenu mnapenda kulalamika, aliyeitwa mwizi anajua taratibu za kufuata kwa hilo kuwekwa mezani.
Na pia lugha ya kutukana wabunge au viongozi ndio tabu kubwa kwenu upinzani.
Na haya mambo mnavyopenda kuyakuza yaani msahau kuingia Ikulu kwa kuteteana katika maovu bila ya kukemeana na kufundishana mazuri.
Leo wameelezea vizuri tu juu ya hatua walizochukua hadi hao wanawake kuvufa mashati ya polisi, hilo kwenu ni ugangwe na ushindi ila kwa sheria ni lazima wapatiwe adhabu... na Spika katoa tahadhari leo juu ya yatakayofuata wakileta chokochoko.
Hakima katweet leo kusema ya bungeni leo ni porojo!!!!!!!
Kama Chadema wenyewe hawakuonesha nidhamu au subira kumuenzi Mzee Ndesa ulitegemea CCM ndio wamuezi?
Yaani Mnyika alitaka Bunge lisimamishe Shughuli zake ili kumtafuta Mbunge aliemwita Mwizi? Mpaka Leo yeye hajamjua aliemwita Mwizi lakin anamlaumu Ndugai!
Haka kuna wakati kalikuwa mchepuko wa kijana wangu fulani wa karibu,kakawa kanataka ili apate mambo,basi aokoke na kijiunga na kwaya!!Jamaa akaamua kuwa "born again" wa kanisa la kilokole pale Mabibo Farasi....
Nikitazama pale bungeni kanavyoongea,yaani unaona kabisa,siasa na ulokole ni unafiki mtupu.Hii tabia ndio anayo yule bwana mdogo Kingu wa Singida
Spika alimtambua Mwenyewe aliemtukana kwanini Mnyika halaumiwi kwa kutomtambua aliemtukana lakin analaumiwa Spika!Pohamba,
Tanzania belongs to all Tanzanias! Hii nchi si ya CCM wala ya Magufuli ni yetu sote! Kilichofanyika Bungeni ni double standards! Mbona siku ile Ndugai alipoitwa 'Fwaala' alimtambua Mbunge aliyemwita hivo? Iweje Mbunge aliyemwita Mnyika 'Mwizi'
hakutambuliwa kwa madai ati Spika hana masikio mia moja ya kusikia kila kitu? Kama hawezi kusikia,kuona na kuchukua hatua kumbe kazi yake nini anapokuwa amekaa kwenye kiti???
Yale yaliyotokea Bungeni leo katika azimio la kuwafukuza Wabunge wa upinzani toka CHADEMA Bi Halima Mdee na Bi Esther Amos Bulaya ni kuonyesha kwamba Bunge chini ya Ndugai hawajui kama CHADEMA wana msiba mkubwa wa mwasisi wa chama chao Mbunge mstahafu ndugu Philemon Ndesamburo!
Hii imedhihirisha kuwa CCM wanawachukia wapinzani hasa CHADEMA na wanatamani hata leo hii Wabunge wote wa CHADEMA wapukutike wote!
Haiwezekani Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge itoe mapendekezo ya adhabu hii kwa Wabunge hawa 2 walioko kwenye msiba huu mkubwa?
Nimesikiliza mapendekezo ya Kamati iliyoungwa mkono na asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM! Inasikitisha kwamba Spika Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati Mzee George Mkuchika hawakugusia chanzo cha tatizo lililopelekea vurugu hizo! Mbunge wa CCM aliwasha mic na kusema MNYIKA MWIZI,lakini si Spika wala Mkuchika aliyeonyesha juhudi za kumsaka huyo Mbunge wa CCM aliyeropoka hayo maneno! Spika anasema hawezi kuwa na masikio 100 ya kusikia kila Mbunge anachosema!!!Huu ni uongo wa Ndugai na ameonysha double standard, maana hayo maneo yangelisemwa na Mbungevwa upinzani leo asingelikuwa Bungeni! Mwenyekiti anadai kuwa swala la kujua chanzo au Mbunge aliyemwita Mnyika Mwizi haikuwepo kwenye hadidu za rejea!! This is rubbish! Kamati inasema iliangalia mkada wa video ili kujiridhisha kwa makosa ya hao Wabunge,inashangaza kuwa Kamati haikuona yote yaliyotamkwa na kichaa wao Lusinde na huyo aliyemwita Mnyika mwizi!!
Namaliza kwa kushauri Bulaya na Mdee waende Mahakamani maana haiwezekani Bunge liwe ni kila kitu! Kama Polisi wanakamata Mbunge na kumsweka Rimande na kushtakiwa Mahakamani iweje Mbunge akienda kulalamika Mahakamani aambiwe Mahakama haina mamlaka hayo??
Je, hivi leo ikitokea Mbunge akapigwa na Mbunge mwenzake wakiwa ndani Bunge akapoteza uhai, Bunge kwa kutumia Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge wana uwezo wa kusikiliza murder au manslauter case??
Mdee,Bulaya na Mnyika tafuteni Haki yenu Mahakamani, Bunge is not a final judiciary machinery!!!
mkuu,usipoteze calories zako kuelimisha majitu ya hovyo hovyo kama haya ya Chadema.
Mnapenda neno kuingia IKULU,kwa namna zenuTabu yenu mnapenda kulalamika, aliyeitwa mwizi anajua taratibu za kufuata kwa hilo kuwekwa mezani.
Na pia lugha ya kutukana wabunge au viongozi ndio tabu kubwa kwenu upinzani.
Na haya mambo mnavyopenda kuyakuza yaani msahau kuingia Ikulu kwa kuteteana katika maovu bila ya kukemeana na kufundishana mazuri.
Leo wameelezea vizuri tu juu ya hatua walizochukua hadi hao wanawake kuvufa mashati ya polisi, hilo kwenu ni ugangwe na ushindi ila kwa sheria ni lazima wapatiwe adhabu... na Spika katoa tahadhari leo juu ya yatakayofuata wakileta chokochoko.
Hakima katweet leo kusema ya bungeni leo ni porojo!!!!!!!
Mbona Kubenea alikuwepo mjengoni, naye hakuwa na taarifa za msiba?
Mwambie Yohana awapeleke kwenye mahakama ya mafisadi ambayo inatanda buibui tu hakuna kesi!