Spika Ndugai na Bunge lake hawana taarifa ya kifo cha Ndesamburo?

Yale yaliyotokea Bungeni leo katika azimio la kuwafukuza Wabunge wa upinzani toka CHADEMA Bi Halima Mdee na Bi Esther Amos Bulaya ni kuonyesha kwamba Bunge chini ya Ndugai hawajui kama CHADEMA wana msiba mkubwa wa mwasisi wa chama chao Mbunge mstahafu ndugu Philemon Ndesamburo!

Hii imedhihirisha kuwa CCM wanawachukia wapinzani hasa CHADEMA na wanatamani hata leo hii Wabunge wote wa CHADEMA wapukutike wote!
Haiwezekani Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge itoe mapendekezo ya adhabu hii kwa Wabunge hawa 2 walioko kwenye msiba huu mkubwa?

Nimesikiliza mapendekezo ya Kamati iliyoungwa mkono na asilimia kubwa ya Wabunge wa CCM! Inasikitisha kwamba Spika Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati Mzee George Mkuchika hawakugusia chanzo cha tatizo lililopelekea vurugu hizo! Mbunge wa CCM aliwasha mic na kusema MNYIKA MWIZI,lakini si Spika wala Mkuchika aliyeonyesha juhudi za kumsaka huyo Mbunge wa CCM aliyeropoka hayo maneno! Spika anasema hawezi kuwa na masikio 100 ya kusikia kila Mbunge anachosema!!!Huu ni uongo wa Ndugai na ameonysha double standard, maana hayo maneo yangelisemwa na Mbungevwa upinzani leo asingelikuwa Bungeni! Mwenyekiti anadai kuwa swala la kujua chanzo au Mbunge aliyemwita Mnyika Mwizi haikuwepo kwenye hadidu za rejea!! This is rubbish! Kamati inasema iliangalia mkada wa video ili kujiridhisha kwa makosa ya hao Wabunge,inashangaza kuwa Kamati haikuona yote yaliyotamkwa na kichaa wao Lusinde na huyo aliyemwita Mnyika mwizi!!
Namaliza kwa kushauri Bulaya na Mdee waende Mahakamani maana haiwezekani Bunge liwe ni kila kitu! Kama Polisi wanakamata Mbunge na kumsweka Rimande na kushtakiwa Mahakamani iweje Mbunge akienda kulalamika Mahakamani aambiwe Mahakama haina mamlaka hayo??
Je, hivi leo ikitokea Mbunge akapigwa na Mbunge mwenzake wakiwa ndani Bunge akapoteza uhai, Bunge kwa kutumia Kamati ya Haki na Maadili ya Bunge wana uwezo wa kusikiliza murder au manslauter case??
Mdee,Bulaya na Mnyika tafuteni Haki yenu Mahakamani, Bunge is not a final judiciary machinery!!!

Umeandika Kirefu na ndo unavyojionyesha uko so prejudiced.swali langu je kosa La Mdee ni kosa sio kosa. Halafu ukiamua kuwa binadamu na kuona hili. We Jana msibani uliowaona Hawa wabunge unaowasema wako msibani au mikutano wa kisiasa kusema CCM. Mnatumia marehemu kama point of departure ya siasa. Kweli kua uone. Gwajima akaja. Yale ni mazingira ya kumuhenzi marehemu. Kweli. Najua kwa kuwa huwa mna majibu kabla ya maswali mtasema tu. Ila ukweli utabaki its not fair to Marehemu.
 
Napendekeza mbunge yeyote WA upinzani awashe mic amwite ndugai ni muuaji! Tuone kama atasikia au hatasikia tena!

One test one test , tunatest masikio ya ndugai!
 
Hatahivo ccm huakaziyenu nikupiga makofi nakushangilia mikataba mibovu ndani yabunge..nakutoa hongela kwa sipika wabunge kuwafungia wapinzani
 
Back
Top Bottom