Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

HIVI Anna Makinda pia angeweza kuomba kikao kati ya wabunge wanaume na Rais? Kwenye uongozi wake hatukuwahi kuona akitaka hilo, wewe umelitoa wapi?
 
Kuchangamsha Baraza sio Mbaya Sometimes..., Ila aangalie asiwe mchangamsha baraza all the times....

By the way nahisi kama vile watanzania tunaanza kupoteza Sense of Homour.....
 
Huyu inabidi apimwe mkojo
 
Amuogope Mungu.Huyu mtu aliyezawadiwa hadi soko na jiwe kwa kuwatenda mabaya watz.
 
Hatuwezi kumlaumu mama makinda, tutalaumu hilo dish lako na virusi vyako vya ukimwi vinavyokupa stress na sahivi India kubadili damu hakuendeki tunakuandalia sanda
 
Sisi tunachojua wewe sabufa una faili Mirembe hivyo ukikosea tunajua tu dish limeyumba
 
Mnafiki ipo siku atamnanga kama alivyofanya kwa Mr Alcohol
 
Kama ni hivi basi Mama Makinda anastahili lawama Kwa utopolo unaoendelea Bungeni.
 
Huu utetezi gani wa kijinga uharibu wewe Ndugai uje umlaumu spika mstaafu Anne Makinda. Hebu viongozi wetu wawe wanaangalia maneno ya kuzungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…