Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

We
Laiti angejua kuwa hakuna Lidumulo hapa Duniani Zaidi ya Visivyo na Uhai, naamini angepunguza hiki kiburi cha Uzima!
Hakuna Marefu yasiyokuwa na Ncha.
Wengine wanaweza kutangulia kuvuka mto wa dunia kabla ya Lissu licha ya kuwa na majigambo mengi na raho mbaya
 
Kuwaelewa hawa jamaa inabidi ujishushe mpaka kwenye level yao ya upuuzi.
Subwoofer ni bonge la mnafiki na ni pimbi sana.
 
lisu kumbuka hakuna miujiza mara mbilimbili bora wakuvue ubunge kuliko kuja kumiminiwa njugu
 
Hahaha tamaa mbaya sana, yani kwanini wasimuache Tundu Lisu ubunge wake uishe 2020, wachukue hilo jimbo?! Na kama kumvua wanaona ndiyo itafurahisha nafsi zao, basi wamvue ubunge wachukue jimbo.
Mbona walimvua Manji udiwani na maisha yanaendelea?!
 
Lissu wa ajabu sana yani amepata nafuu badala hata kurudi kushukuru wana singida hakuna yeye ni kuzunguka tu abroad huku akilalama, Huyu jamaa abaki tu kuwa activist ila kusema sijui ashike dola hapana hawezi
 
Back
Top Bottom