Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

hivi haya mambwa mbona yanaviongerea vyombo vya dora kuwa vinaendelea na uchunguzi wakat kamanda mkuu alishasema uchunguzi umefungwa na watu walipigwa marufuku kuendelea kuzungumzia suala la kushambuliwa kwake

kwanini vyombo vyenyewe visijitokeze kuzungumza hazarani kinachoendelea??
 
Hon TL, amepigwa risasi 16,
1 imebaki mwilini mwake,
amefanyiwa 22 operations kuondoa risasi 15, na kupata Tiba etc etc.

Kwa kwel anahitaji kupumzika aweze kupata full recovery.

Akili timamu haiwezi kulinganisha Uhai na Ubunge.

Ubunge unapita tuu, Je khs Uhai?

Ifike mahali tumwogope Mungu.
Mungu ni mwema sana.
Tumeshuhudia wema kwake kwa Hon TL.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
JARADA LA UCHUNGUZI shambulio la lissu Kamanda alitangaza kuwa lilishafungwa (closed) sasa huyu wakili mbayuwayu anasema UCHUNGUZI UPI unaoendelea?
lissu ugonjwa wake siyo wa akili, ugonjwa wa lissu ni majeraha ya mifupa na lisasi unaposema kapona wewe ndiye daktali?
ALIPIGWA LISASI HADHALANI NA CAMERA ATAJIBU HADHARANI!

Hivi hamkumuelewa alivyosema
"I survived to tell the tale"
 
huyo manyama ni mtambo wa Dr. Tulia, ana jikomba ili apate nafasi. Mwanzo huyu alikuwa mchungaji na Dr. Tulia alikuwa muumini.... Hovyo kabisa hawa, wamekubali kutumika na shetani na kutumikia tamaa zao.. pumbafuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kama ndiyo kiki ya kujitangaza apate wateja wa kuwatetea mahakamani hapati kitu na zaidi hata alionao watamkimbia. Sijawahi on a wakili kituko kama huyu. Yaani hapa kama nikesi kashashindwa mapemaaa. Wapi Lisu alipo lihusisha Taifa letu na mataifa ya makubwa ya nnje? Wakili msomi umeshindwa kung'amua hata hoja mojatu kwenye msingi wa madai ya Lisu?
Unajua maana ya mwaliko/kualikwa? Hapo ndipo kunajibu lako la mfadhili wa lisu.
Kama hawa ndiyo wasomi wetu tuna kazi ngumu sana kuifikia nnchi ya Ahadi.
 
Mtu aliyekoswakoswa kuawa anaweza kurudi kwenye mazingira ya tukio pale tu anapokuwa na uhakika wa mojawapo ya haya;

1. Aliyekusudia kumuua amekufa
2. Aliyekusudia kumuua amedhibitiwa au yupo kifungoni
3. Akirudi anaweza kumshughulikia aliyekusudia kumuua kwa kutimiza namba 1 au 2 hapo juu.
 
Back
Top Bottom