Spika Ndugai: Lissu alishambuliwa kwa risasi 28-32 lakini zilimpata tano, awataka wabunge kuchangia nusu ya posho zao

KUTOKA BUNGENI: Wabunge wamekubaliana kutoa nusu ya posho ya siku 1 kwa ajili ya matibabu ya Mbunge mwenzao Tundu Lissu.
Pia Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Gari la Tundu Lissu ilipigwa kati ya risasi 28 hadi 32 lakini zilizompata Lissu ni tano
Masikini atazidi kuwa Masikini naye Tajiri Atatajirika zaidi.
 
Ndugai ws hatukurudishi bungeni..kwanza uliingia kimiujizaujiza tu ndo mwisho wako sasa kibaraka mkubwa we
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema Bungeni kuwa gari ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu lilishambuliwa kwa jumla ya risasi 28 hadi 32 lakini zilizompata na kumjeruhi Tundu Lissu ni tano tu.

Ndugai amesema kwa hesabu alizofanya cha Wabunge waliopo leo, kiwango cha mchango wa wabunge kitakua Tshs Milioni Arobaini na tatu (Tsh 43,000,000/=) kutoka kwenye nusu ya posho yao ya siku ya leo.
Mwambieni huyo dwarf michango kutoka kwa mafisi wa Lumumba wabaki nayo tu, sisi tunamchangia Kamanda Lissu, atatibiwa na atapona!
 
Yeye Ndugai aendelee kuwashulikia ndani magufuli anaendelea kuwashulikia nje.
 
serikali imekataa kutoa hela ya kumtibu... Hatari sana


Pole sana Kamanda
 
Hiyo ni nusu ya posho ya siku kwahiyo kwa leo tuu munalipwa zaidi ya tsh.million 86 per day. Walimu madaktri wauguzi wanalia njaaa mishahra iko vile vile kweli yesu lud japo kuna mtu anasema ulikula nauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom