Spika Ndugai: Lissu alishambuliwa kwa risasi 28-32 lakini zilimpata tano, awataka wabunge kuchangia nusu ya posho zao

5 out of 32 ,hii inamana kuwa uwezekano wa kumfanyia ubaya na ukamzuku TL ni 0.1563 (probability of an event to occur) ,yani uwezekano wa kumzuru TL ni sawa na 15.6%
Kweli TL ni mpango wa Mungu
 
Tundu Lisu got shot on 7th september, the same date as Tupac who died 6 days later after the attack. That was year 1996. We hope Tundu will survive this though..just like Pac survived the first 5 bullets murder attempt of which he claimed that BIG notorious was responsible.
 
Bawacha hebu acheni siasa huu ni muda wa kumuombea apone haraka! Acha maneno usiyo kuwa na uhakika nayo....kama kuandika na kuhoji kila mtu anaweza....
Uhakika upi, hujaiona gari?risasi zaidi ya ishirini ila tano tu ndo zimempata. Halafu unikome mimi sio bavicha. Mimi naangalia utu na siyo Chama.
 
Tundu Lisu got shot on 7th september, the same date as Tupac who died 6 days later after the attack. That was year 1996. We hope Tundu will survive this though..just like Pac survived the first 5 bullets murder attempt of which he claimed that BIG notorious was responsible.
Wa Tanzania kwa kuhusisha matukio hamjamboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Risasi 28-32 Duuuh Mungu mponye Tundu Lissu

Pongezi kwa wabunge kutoa mchango huo
 
Back
Top Bottom