Spika Ndugai: Jimboni kwangu Kongwa umeme unakatika mara 30 kwa siku!

Hiki ni kilio cha mbunge wa Kongwa ambaye pia ndio Spika wa bunge la JMT mh Ndugai.

Tanesco heshimuni maeneo wanayotoka viongozi wakuu, hayo ni maoni yangu...


Yeye hajui KONGWA= KONGO (DRC) ni nchi nyingine hiyo🤣
 
Hizi kauli ndio zimemponza maana alionekana mpinzani.
Kuna clip iinatembea kule face book, anasema “ukiwa mwanamke wewe ni mwanamke tu, kufoka foka hakukubadilishi, ukiwa mkuu wa wilaya au waziri wewe ni mwanamke tu”. Ayubu alivuka impala!
 
Back
Top Bottom