Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

Ndungai hajui hata wajibu wa bunge tunamjua miaka yote ni dhaifu. Kageuza bunge kijiwe cha kupiga story.
 
Spika nae kazidi mipasho kama mwanamama
KALE KAUGONJWA SI UNAJUA....🀣🀣🀣🀣

Halafu ukiwa vidole vya miguuni havijatimiaa....plus ile NUNDU kwenye CHOGO.....🀣🀣🀣

UNATEGEMEA NINI?

NI SHUDU KWA KWENDA MBELE 🀣🀣🀣🀣
 
Anafikiri bado ni kipindi kile alipokuwa anakingiwa?. Hajui anatafutiwa taget,hasa matibabu yake huko nje.
 
SAWA. SASA JIMBO LA HAI LIMEPATA MBUGE ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANAICHI WA JIMBO HILO. SWALI LANGU KWA MH. SPIKA NDUGAI NI HILI; "JE, NI NANI ANAYEULIZA MASWALI, NA KUWASEMEA WANANCHI WA JIMBO LA SPIKA NDUGAI?'
Jimbo lake halina shida..uchaguzi ukikaribia akipika ubwabwa na vipombe vya kienyeji anapita bila kupingwa...
 
Chadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Haya wewe mwenzao tueleze Mbowe kamkosea nn Ndugai? Juzi alizungumza nn kumuhusu au kuwahusi nyie wenzao
 
Hii takataka bora mi ARVs ilikatae tu mapema maana ni janga kubwa kwa nchi, believe me akiitwa tu mawinguni hamtaamini watakaokalia kiti watakavyomuua na kufukua upuuzi wake , mamtu kama haya ndio kama lile la kule kitovuni tu
 
Waliokua wanasema huyu mwamba ana shida kwenye ubongo nilikuaga nawaona wazushi ila as days goes kama naona walikua sawa vile
 
Huyu anamfuata fuata Mbowe
Mwana kulitafita mwana kulipata.
Wako wapi waliomfunga Mbowe gerezani?
Wapo wapi waliofungia akaunti zake hata Ile ya mshahara?
Karma is real, it is just a matter of time.
 
Radio Ina spika mbovu inakoroma tu
 
Chadema wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Aliyemtukana mwenzake ni nani hapo? Mbona kama huyu kaja na mashambulizi ya kumshambulia mtu na sio chama,
ndugai bado ni ni mchanga sana kisiasa na anadhani matusi ndiyo siasa.

MBowe ni mtu makini sana na anajua kile anachokifanya. Yuko direct kwa maslah ya nchi na sio huu ujunga wenu maccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…