Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,913
Mh.Spika,nakushauri ni vema wewe kama kiongozi wa Bunge ufike gereza la Kisongo kumjulia hali mh.Lema ambae yuko Mahabusu tangu November 2 mwaka jana.
Tambue Lema bado ni mtuhumiwa na zaidi usisahau kuwa wewe ni kiongozi wa Wabunge wote bila kujali vyama vyao.
Ushirikiano mnaoonyesha katika misiba muonyeshe na katika hili.
Kumbukeni Lowassa na Sumaye mlikuwa nao CCM ile leo wako wapi?
Simama kama Spika na zaidi simama wewe kama wewe na hakika katika hili Historia itakukumbuka.