Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Lisu ukuje huku imekula kwako hiloooooooooooooo Lionel!!!!
Umezunguka weeeee kunadi Act wazalendo ukome waaambie na wazungu wako hiii ndio Tanzania uliyokuwa ukiwadanganya kujitia unaijua ili uwalie pesa zao

Refund back their money
Duh unaweza kukuta wewe ni mtoto wa kiume

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mil 11 kwa mwezi , Mil 90 mkopo wa gari, mafao si chini ya Mil 240, bado ana posho za kamati na vikao vya bunge.

Kwa nini wasiongee huo upuuzi hapo?

Waliposusa kipindi cha pili cha Rais Mstaafu Dr Shein walifaidi nini?????? Tunafurahi kwa fuata ushauri wetu kwa faida ya wao binafsi na taifa la Tanzania badala ya kususa. Pili wamshukuru Rais Hussein kwa kuwa na busara za kipekeeee kwani hata baraza lake limejali “THE MINORITY”.
 
Tanganyika yetu ikirudi hao hawana tena ubunge wataenda kuchuma karafuu kwao na kuuza mbata.
 
La uhuru wa ndoa za jinsia moja unao usubiri wewe


Sent from my F3311 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka mimi
 
Hii ni kama vile dada yako ameondoka kwa mume wake na amekuja kwako kwa sababu ya mateso aliyokuwa anapata kwa mume wake ambayo wote mlikuwa mnashudia. Pamoja na hayo anakuonyesha mpaka majeraha aliyosababishwa na mume wake. Unampokea na kumhifadhi. Siku moja unarudi nyumbani na kukuta kafungasha vitu vyake na kaondoka kwako bila kukuaga. Majirani wanakwambia amerudi kwa mume wake na ni mume ndiye aliyemfuata. Wewe kwa kuhofia kuwa labda alilazimishwa kuondoka, unaenda kwao. Kule unawakuta wako barazani wanatia stori. Unapouliza kulikoni, dada yako anakushambulia kuwa wewe ndie uliyemrubuni na kuwa toka mwanzo ulikuwa una mpango wa kuvunja ndoa yao. Na yale majeraha hakusababishiwa na mume wake na hata kama aliyasababisha ni ishara ya jinsi alivyompenda. Kama una busara, haubishi kitu bali unajirudia nyumbani kabla hujaambiwa kuwa ulikuwa una mtamani dada yako.

Huu ni wakati wa wasio wazanzibari kukaa kimya na kuwaacha wenye kwao waendelee na maisha waliyoamua kuishi. Ila ikitokea siku nyingine dada atakuja tena kwako kwa matatizo yale yale usimfungulie mlango.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…