Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,002
- Thread starter
- #61
Leo hutasikia wakims
Leo hutasikia wakisifia kuwa Ni Magufuli kaacha ripoti iwasilishwe Bungeni..Sasa maelekezo yake kwa Ndugai yaliishia wapiHoja iende kwa hoja. ndio ukomavu wenyewe wa kisiasa.
Turudi kwenye mada.... Kwani ni uongo kila mtu anawajibika kuhusu nafasi aliyopewa?