Spika Ndugai akumbushia alivyomchapa mtu viboko, asisitiza viboko ni muhimu

Spika wa Bunge Job Ndugai katika mjadala unaohusu viboko kwa wanafunzi shuleni, ameunga mkono viboko hivyo huku akikumbushia alivyomchapa mtu viboko wakati wa uchaguzi mwaka 2015


Anaona fahari kumchapa mwanaume wa ccm mpaka kuzimia na kumvua nguo hadharani mwanamke wa ccm
 
Kwani alipona?
Kidogo afe, ila yule mwanamama wa ccm alivuliwa nguo mpaka najisikia vibaya utafikiri ni mke wangu, nadhani hata wakina mama huwa anawaambia hivyohivyo kuwa hata mimi huwa nawavua nguo hadharani wanawake
 
Back
Top Bottom