kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.

Amewaponda wapinzani kuwa bado ni laini, anataka wapinzani wawe makini. Kama kuna hoja za ukweli ziwe za ukweli sio waje na hoja laini laini wakipigwa chini ndio wanalia lia. Amewataka wapinzani kujenga nguvu za hoja na sio hoja za nguvu.
Nimewambieni lengo kambi ya upinzani iende cuf siajabu wakaongezewa nguvu na vyama vingine
kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.
Anna Makinda USPIkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa???? NCHI UMEOZA:yield::yield::yield::doh:
ameulizwa kuhusu kuwekwa na mafisadi, amesema hawajui mafisadi. Yeye anaishi maisha yake na yeye ni mtu wa principles anaishi anavyotaka yeye. Ameibonda ile select commitee ya Mwakiembe, something was wrong somewhere..
Watanzania watakuwa hawamtedei haki Anna Makinda kabla kipenge hakijapulizwa tayari malalamiko kibao ebu tumpe muda tumpime utendaji wake anaweza kuwashangaza mafisadi wakajuta kumtosa Six.
Amesisitiza hajawekwa na mtu, hamtumikii mtu na hawezi kuondolewa na mtu, ametangaza 2015 hagombei Ubunge, anastaaafu.
Press Conference imeisha, anaelekea bungeni sasa.