Spika Makinda Press Conference Live!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,627
119,214
Bunge limeanza leo, kambi ya upinzani iliyotangazwa bado ni batili, haijatambulika rasmi. Upinzani ni shaghala baghala,

Hayo na mengine mengi kufafanuliwa na Mhe. Spika mpya kwenye press conference yake ya kwanza.

Hali ikiruhusu, nitawaletea live, ikishindikana, nitahudhuria na kuwaammbia kilichojiri.

Tuendelee...
 
So sad Tanzania kuna wapinzani opportunists wengi!!!! Wametia aibu leo kwenye uchaguzi wa Spika. Kila wakati nasema CUF=NCCR=UDP=SAU=Demokrasia makini+TLP, etc=Chama Cha Mapinduzi!!!
 
Bunge limeanza leo, kambi ya upinzani iliyotangazwa bado ni batili, haijatambulika rasmi. Upinzani ni shaghala baghala,

Hayo na mengine mengi kufafanuliwa na Mhe. Spika mpya kwenye press conference yake ya kwanza.

Hali ikiruhusu, nitawaletea live, ikishindikana, nitahudhuria na kuwaammbia kilichojiri.

Tuendelee...

Pasco ipi Batili?

Ya CHADEMA au ya CUF na Wabia wake?
 
Spika Makinda ameingia, ameanza na kama kuna mwenye swali. Hassan Mhelela amefungua dimba kuhusu vipaumbele vyake.
 
Bunge limeanza leo, kambi ya upinzani iliyotangazwa bado ni batili, haijatambulika rasmi. Upinzani ni shaghala baghala,

Hayo na mengine mengi kufafanuliwa na Mhe. Spika mpya kwenye press conference yake ya kwanza.

Hali ikiruhusu, nitawaletea live, ikishindikana, nitahudhuria na kuwaammbia kilichojiri.

Tuendelee...

Ati nini?

Upinzani ni batili?

Upi? CCM B? Au Chadema?
 
wana cuf hao ndo hawapendi kuungana na wenzao, KWASABABU BADALA YA CUF KUONA KAMA MPINZANI WAO MKUBWA NI CCM, WAO WANAONA MPINZANI WAO MKUBWA KWA SASA NI CHADEMA na wanaweza kufanya lolote ili chadema isionekane nzuri, kwasababu wameona chadema imejizolea umaarufu na kuaminiwa na watz wengi sana hadi sasa ivi, na ndio watakaochukua nchi, ndio maana hata lipumba hakuwa na mgogoro wowote ule na matokeo, alitusaliti sisi wapinzani ili ionekane kwamba wao ndo wazuri, wapinzani wengine ni wabaya kwasababu hawakubali matokeo. cha ajabu ni kwamba, 2015 chadema ndo itachukua madaraka.

Nimefurahi kumwona Tundu lisu mle ndani na aliulizwa swali zuli lililokatizwa na ana abladal....kama cuf wanataka kusurvive, itabidi wajiunge na chadema haraka, la sivyo, watafunikwa kwasababu chadema inao wapiganaji wa kutosha watakaoisumbua sana ccm na sisi wananchi tunaotazama tutawaona wapiganaji ndo watu wa muhimu kuliko wale wanaosympathise na ccm.
 
Bunge limeanza leo, kambi ya upinzani iliyotangazwa bado ni batili, haijatambulika rasmi. Upinzani ni shaghala baghala,

Hayo na mengine mengi kufafanuliwa na Mhe. Spika mpya kwenye press conference yake ya kwanza.

Hali ikiruhusu, nitawaletea live, ikishindikana, nitahudhuria na kuwaammbia kilichojiri.

Tuendelee...

Kachelewa wapi huyu? mbona wameapishwa kwa kufuata vyeo ndugu, sasa wewe haya yanatoka wapi?
 
cuf ndo sababu na ni kweli. yule mama yuko sasa! haiwezekani kukawa na kam,bi mbili bungeni za upinzani

wacha awafundishe demokrasia

yaani kwa CUF kwake upinzani ni chadema na sio ccm
 
hata kama kambi ya cuf ndiyo ikatambuliwa kuw ni upinzani, it will still be shallow, hawaijui nchi all they know ni vijimitaa vya pemba.
 
vipaumbele vya Makinda.
1.huduma bora za wabunge.
2.value for money
3. Capacity building kwa wabunge.
 
na hii ndoa ya cuf na ccm itadumu miaka 5 tu then talaka 3 zitafata.

sijui wakoje wapinzani wa tanzania yaani ni hovyo hovyo!!!
 
kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.
 
Back
Top Bottom