DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
mama alikuwa kama kamwagiwa maji,c unajua tishio la mkulu kuwa atavunja bunge endapo..haha haaa!tehetehe tehe!!kwi kwi kwi kwiiii!mbavu zangu mie!wakati anasema hayo maneno usoni alikuwaje?maana sipati picha mtu mzima alivyojishaua mpaka sauti kutoka,
Eti kikaongezea tuche ushabiki wa kichama tuweke masilahi ya nchi kweli sisimu hawana hata mshipa wa aibu mara hii wamesahau walivyo itukana CHADEMA bungeni mpka tukawa tunapewa maana na Tundi sijui kipemba mana yake nini, leo wamenywea kama piliton...Nguvu ya umma nomaaa
aliyeongea ni bi kiroboto au mwingine?
Mkuu kweli maskini akipata hujisifia. Mapendekezo yaliyochukuliwa ni asilimia 5 tu ya yote, rais bado ana madaraka makubwa na katika ikiisha bunge la katiba analiteua yeye, hapo huoni hay a marekebisho ni kiini macho? Tafakari kabla ya kuandika