Mmekuwa vipofu wakaskazini.
Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?
Hapo red hapo.....weak president kateua weak mawaziri, weak wakuu wa mikoa na wilaya, weak spika na naibu wake nk nk nk.... yaani ni vipofu wanaongozana wenyewe kwa wenyewe!Rotten party.
Rotten leaders.
Rotten system.
Weak president.
Dawa ni kwa wapinzani kurejesha lusinde kwa lusinde, wakiambiwa wafute kauli zao wazifute, watakuwa na wao wameshawalusinde halafu wanaendelea na kuchangia - Kudadaaadeeeik!
Kama alivyofanya Mdee na Mnyika......wanapewa ukweli wao afu vile walivyo dhaifu mwili, akili na roho zao lazima wakimbilie kusema kauli ifutwe......inafutwa lakini msg sent and delivered!.....ukishamjulia dhaifu wala hakupi shida.
Ndio hivyo ninavyoonaunampa vidonge halafu kwa utiifu mkubwa, Mheshimiwa Mkubwa sana Dokta, Professor Bwana so and so, samahani nafutakauli kauli yangu - message sent -.Kama alivyofanya Mdee na Mnyika......wanapewa ukweli wao afu vile walivyo dhaifu mwili, akili na roho zao lazima wakimbilie kusema kauli ifutwe......inafutwa lakini msg sent and delivered!.....ukishamjulia dhaifu wala hakupi shida.
Ni kweli Watanzania wanaona matusi ya vijana wa Chadema.
Mmekuwa vipofu wakaskazini.
Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?
Mmekuwa vipofu wakaskazini.
Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?
Msusieni basi bunge lake, si mmezowea kususa. Kwi kwi kwi teh teh teh.
Msusieni basi bunge lake, si mmezowea kususa. Kwi kwi kwi teh teh teh.