Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

Spika dhaifu kutoka chama dhaifu kinachoongozwa na mwenyekiti dhaifu hutetea wabunge dhaifu kwa kutumia tafsiri dhaifu za kanuni dhaifu wanapotoa hoja dhaifu...

Nimeipenda kama una namba ya nape mfowadie itamfaa sana kama reference mwaka 2015
 
Kwa hii, naendelea kukubali kuwa Mnyika alichokisema ni sahihi "...udhaifu wa Bunge na Wabunge...hii kauli....dhaifu sitaifutaa" Ahahaa ktmbe alimaanisha kwel. Mmhh
 
Mmekuwa vipofu wakaskazini.

Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?

Kadharau na kukashifu bajeti ya CDM badala ya kusahihisha walipo kosea huwezi kuniambia eth bajeti yote imekosewa ni kitu ambacho hakiwezekani hata kama angeandaa kilaza Lusinde
 
We uko kila mahali tatizo nini? Huna kazi ingine zomba, kweli nimekuchoka unalipwa au ni mapenzi kwa wezi wenzako ccm.
Msusieni basi bunge lake, si mmezowea kususa. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Kwa jinsi wanavyoendesha mambo kwa upendeleo wa wazi, kuna wakati ninatamani ningeweza kwa namna fulani kuwaadibisha Makinda na Ndugai kwa kuwachapa viboko kama enzi zile za kuwachapa watoto wa shule za msingi.

Azabu za shule ya msingi hazikuwa hazabu, hawa wanatakiwa zile za enzi ya ukoloni ndo wangeshika adabu!
 
Yote hayo wanayoyafanya ccm bungeni ni laana tupu na itawagarimu maisha yao na chama chao mpaka watakapokufa, maana haiwezekani waape kwa kutumia biblia au kuruani na kuapa kuwa atailinda na kuitetea katiba ya tanzania lakini bado sijawaona wakitekeleza kiapo hicho ama wanakitumia kiapo hicho kama fasheni ya kuingia madarakani tu?
 
Kwa hii, naendelea kukubali kuwa Mnyika alichokisema ni sahihi "...udhaifu wa Bunge na Wabunge...hii kauli....dhaifu sitaifutaa" Ahahaa ktmbe alimaanisha kwel. Mmhh
 
Mkuu wewe unadhani speak atokaye kwa chama dhaifu na serikali dhaifu atafanya maamuzi sahihi??Tukumbuke kwamba yule kibibi kawekwa pale kwa maaanaa hiyo hawezi kufanya jambo la maana.Habari ndiyo hiyo iliyobaki ni sie kuwachana chana hapo 2015 na ndio watatia akili.
 
huyu mama sijui kwa nn ana ujacri wa kutenda mambo km hayo

ana ujasiri kwa sababu amewekwa na mafisadi; anatekeleza kazi aliyopewa na mafisadi wa chama dhaifu kinachoongozwa na mwenyekiti dhaifu ambaye ndiye mkuu wa kaya. Pia alishatangaza hatagombea ubunge tena.
 
Ni kweli Watanzania wanaona matusi ya vijana wa Chadema.

Watanzania wanaona jinsi wabunge wa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wanavyokemea udhaifu wa serikali ya chama dhaifu kinachoongozwa na baba mwanaisha aka DHAIFU
 
We uko kila mahali tatizo nini? Huna kazi ingine zomba, kweli nimekuchoka unalipwa au ni mapenzi kwa wezi wenzako ccm.

Ulinikutaje kama na wewe haupo? Nani anakulipa? au zile pesa zetu za kutoka CDU? oops, za kutembeza bakuli kwenye mikutano?
 
Back
Top Bottom