Spika Makinda awatoa nje wabunge kwa kuongea!

Ningekuwa na experience na mambo ya Dental,ningeanza kung'oa meno ya wabunge wasumbufu bungeni mmoja baada ya mwingine.
 
Hivi inakuwaje TBC peke yake ndio inarusha live kipindi hicho cha Bunge ?

.....ni sheria ama ni kitu gani hasa ?
...mkakati wa kutoonyesha live uliposhindwa naona wameenda kwenye option hii ili waweze kucontrol nini kionekane kwa wananchi ua kutoonyesha kabisa kama kilichotokea leo na siku za hivi karibuni, uhuru wa kupata habari/taarifa kapuni...
 
Ningekuwa na experience na mambo ya Dental,ningeanza kung'oa meno ya wabunge wasumbufu bungeni mmoja baada ya mwingine.

...hauhitaji uzoefu kiongozi,kanunue prize tu dogo mwigulu atakupa uzoefu,yanang'oka tu...
 
Du kweli noma, ila sijapenda wabunge kupiga kelele,story hata kama ni wa chama changu,sikiliza hoja then uipinge kwa hoja.
 
Back
Top Bottom