Mie Machali kanifurahisha kumshushua Martha Mlata
alisemaje mkuu manake wengne tv yetu ni hapa Jf
Mie Machali kanifurahisha kumshushua Martha Mlata
Ana hasira tangu jana. Bahati mbaya hejui hata kuzificha. Jana alipokuwa akihairisha Bunge jioni alionyesha hasira hizo kwa kauli! Kwa yanayoendelea Bungeni sijui kama yataisaidia CCM kwenye uchaguzi Mkuu ujao! Haya ndiyo yalisemwa na Katibu Mkuu wa CCM huko Mwanza. Ikiwa wana mpango kuwapa adhabu ya kuwafungia hao aliowataja Bungemi kuwa wanafanya fujo bungeni, ili wasihudhurie ndiyo watakuwa wamelikoroga zaidi. Sina hakika kama sheria zitakazotungwa zitaungwa mkono na wananchi na zitaendelea kuitwa ni sheria za CCM!Spika wa JMT mh.Annie Makinda leo naona analiingiza Bunge letu tukufu ktk majaribu moja ya jaribu ni pale Mbunge anapoomba maelezo ya serikali lkn matokeo yake spika yeye anaingia kuhoji wanao kubali waseme ndio na wasiokubali waseme sio.
Kwa utaratibu huu spika wetu ama amechoka au anahasira?
Spika wa JMT mh.Annie Makinda leo naona analiingiza Bunge letu tukufu ktk majaribu moja ya jaribu ni pale Mbunge anapoomba maelezo ya serikali lkn matokeo yake spika yeye anaingia kuhoji wanao kubali waseme ndio na wasiokubali waseme sio.
Kwa utaratibu huu spika wetu ama amechoka au anahasira?
Job true true
Huwezi kujua labda team yake ya urais imebuma..
Huyu mama sijuw ccm wamefikri mara ngapi kuwa spika, naskia ana kadiploma lakini pia isijekuwa ana stress za kutokuwa na mume
Spika wa JMT mh.Annie Makinda leo naona analiingiza Bunge letu tukufu ktk majaribu moja ya jaribu ni pale Mbunge anapoomba maelezo ya serikali lkn matokeo yake spika yeye anaingia kuhoji wanao kubali waseme ndio na wasiokubali waseme sio.
Kwa utaratibu huu spika wetu ama amechoka au anahasira?
Spika wa JMT mh.Annie Makinda leo naona analiingiza Bunge letu tukufu ktk majaribu moja ya jaribu ni pale Mbunge anapoomba maelezo ya serikali lkn matokeo yake spika yeye anaingia kuhoji wanao kubali waseme ndio na wasiokubali waseme sio.
Kwa utaratibu huu spika wetu ama amechoka au anahasira?
kiukweli mimi ni mgumu sana kuwadharau wanawake , lakiniSpika wa JMT mh.Annie Makinda leo naona analiingiza Bunge letu tukufu ktk majaribu moja ya jaribu ni pale Mbunge anapoomba maelezo ya serikali lkn matokeo yake spika yeye anaingia kuhoji wanao kubali waseme ndio na wasiokubali waseme sio.
Kwa utaratibu huu spika wetu ama amechoka au anahasira?
Nimetafiti sana mwenendomwa huyu mama lakini kisanyansimimethibitika kuwa wanawake wanapofika kwenye menopause huwa wanakuwa na hasira sana na wanapoteza kabisa uwezo wa kufikiri