Anafikiri kila mtu ana upeo mdogo kama yeye!!
Watanzania bana sometimes huwa ninashindwaga kuwaelewaga!!! Si huyu huyu ANA MAKINDA YA NDEGE mlikuwa mnamsifia kuwa mmepata spika mwanamke mpaka mkataka SIX ABADILI JINSIA kama anautaka uspika?? Na bado ngoja mpate Rais Mwanamke, MTAKOMAJE!!!!!!