Spika Job Ndugai una nafasi ya kuandika historia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,685
149,894
"Iwapo wabunge wenzako kwa umoja wao wataamua kuungana na kutumia haki yao ya kikatiba kufanya maamuzi wanayoyaona ni sahihi, nawe kwa upande wako timiza wajibu wako na kamwe usiwe kikwazo."

"Pia utambue kuwa endapo utakuwa kikwazo, basi ujue ni wewe utakaebeba lawama kwa yoyote yatakayotokea siku zijazo."
 
Magufuli anaelekea kubaya sana maana sasa hivi hata hao wabunge wa CCM hawampi tena support kwa mambo anayofanya wabunge wengi sana wataamia achadema siku zijazo na upinzani kutakuwa na changamoto kubwa sanaaa
 
Nadhani kwa wakati huu mihemko ipo juu kiasi kwamba akili zimegoma kufanya kazi......

Hili suala katika hali ya kawaida liko mbali na hicho ambacho wewe unataka spika wa bunge akifanye.....kiko mbali sana.....

Huuwezi kuuona umbali huo kama mihemko yako itaendelea kuwa juu......
"Mabadiliko huwakuta wengine wakiwa usingizini na wanaposhituka huwa teyari kumekucha."
 
"Iwapo wabunge wenzako kwa umoja wao wataamua kuungana na kutumia haki yao ya kikatiba kufanya maamuzi wanayoyaona ni sahihi, nawe kwa upande wako timiza wajibu wako na kamwe usiwe kikwazo."

"Pia utambue kuwa endapo utakuwa kikwazo, basi ujue ni wewe utakaebeba lawama kwa yoyote yatakayotokea siku zijazo."
Dr Slaa alivunjwa mkono na pamoja na mke wake kuharibiwa ujauzito akiwa Arusha wakati wakitetea Chadema.

Lakini alifukuzwa dakika za mwisho na chama kuuziwa Lowasa.

Leo wako bize kumuonea huruma Nape
 
Nadhani kwa wakati huu mihemko ipo juu kiasi kwamba akili zimegoma kufanya kazi......

Hili suala katika hali ya kawaida liko mbali na hicho ambacho wewe unataka spika wa bunge akifanye.....kiko mbali sana.....

Huuwezi kuuona umbali huo kama mihemko yako itaendelea kuwa juu......
Fact
 
"Iwapo wabunge wenzako kwa umoja wao wataamua kuungana na kutumia haki yao ya kikatiba kufanya maamuzi wanayoyaona ni sahihi, nawe kwa upande wako timiza wajibu wako na kamwe usiwe kikwazo."

"Pia utambue kuwa endapo utakuwa kikwazo, basi ujue ni wewe utakaebeba lawama kwa yoyote yatakayotokea siku zijazo."

Sidhani kama Wabunge wa CCM hasa hawa wengi ninaowajua Mimi wana huo Uthubutu Mkuu. Wengi wao ni Wanafiki na Waoga waliotukuka kabisa.
 
Dr Slaa alivunjwa mkono na pamoja na mke wake kuharibiwa ujauzito akiwa Arusha wakati wakitetea Chadema.

Lakini alifukuzwa dakika za mwisho na chama kuuziwa Lowasa.

Leo wako bize kumuonea huruma Nape

Wanasiasa wa taifa hili na unafiki ni sawa na ukucha na kidole.......

Penye ngawira...wanaweza kufanya maamuzi yatakayokuacha mdomo wazi kama sio ukazimia kabisa......

Suala la Lowasa kujiunga CDM kumenipa funzo kubwa sana kwenye siasa za Tanzania......
 
Dr Slaa alivunjwa mkono na pamoja na mke wake kuharibiwa ujauzito akiwa Arusha wakati wakitetea Chadema.

Lakini alifukuzwa dakika za mwisho na chama kuuziwa Lowasa.

Leo wako bize kumuonea huruma Nape
Mamluki wenu bado mnamkubuka?
 
"Iwapo wabunge wenzako kwa umoja wao wataamua kuungana na kutumia haki yao ya kikatiba kufanya maamuzi wanayoyaona ni sahihi, nawe kwa upande wako timiza wajibu wako na kamwe usiwe kikwazo."

"Pia utambue kuwa endapo utakuwa kikwazo, basi ujue ni wewe utakaebeba lawama kwa yoyote yatakayotokea siku zijazo."
Hapo ndipo mnapokosea nyie watu Wa ufipa!! HamjawAhi kuwa wazalendo Wa taifa hili na hamfai kupewa nchi!! Mwenyekiti wako mbowe alibadili gia angani hamjawahi pitisha petition aachie ngazi Leo unamshauri ujinga spika wetu!! Pumbafu kabisa
 
Dr Slaa alivunjwa mkono na pamoja na mke wake kuharibiwa ujauzito akiwa Arusha wakati wakitetea Chadema.

Lakini alifukuzwa dakika za mwisho na chama kuuziwa Lowasa.

Leo wako bize kumuonea huruma Nape
Huyu alifukuzwa? Sikumbuki.
 
Lakini Mkuu kumbuka kuwa Mkulu aliwapiga Mkwara mzito hao wabunge wa CCM alipokutana nao Chamwino kuwa wasithubutu kufanya jaribio la kupiga kura hiyo ya kukosa imani na serikali, ama sivyo kama watakaidi agizo hilo watakiona cha moto..........
 
Back
Top Bottom