Spika Job Ndugai atakumbukwa kwa yapi zaidi kama legacy yake?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,303
Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.

Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
 
Ungebainisha mambo gani; mazuri tuuu au na mabaya yake, mimi ningekua kwenye upande wa mabaya yake kama ingekua ni dibeti zile za secondary ili mpambano uive mapema
 
Kwa kuwakumbatia wale COVID 19 (wabunge)
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.

Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
Ndie alikuwa kiongozi wa bunge,bunge lililowezesha nchi kuiweka miundombinu kama barabara zilizowezesha mkeo kwenda kumegwa na kurudi haraka kabla hujarudi home na ndio msingi wa amani unayoiona hapo kwako,hata mama Yako me hivo hivo anawahi kumpikia chakula baba yako na kupata matumizi mengine ambayo baba Yako na wewe mlishindwa kuwatimizia wenzake wenu

Infact kazi kubwa sana ameifanya
 
Kuwa chawa wa dhalimu magu, na kuligeuza bunge kuwa kibogoyo.
 
Alipewa maelekezonamfukuze lissu na kumnyima stahiki zake!!! Sasa aliyempa maagizo kafa ,na aliyetekeleza maaagizo kafa!!!dadadadadeki!!
Pia tutamkumbuka Kwa kukalia kitu Cha ubunge wa kongwa Kwa miaka 25!! Kisha akasubiri afe ndio barabara ichongwe!!hakika huyu alikuwa shudaaa
 
Ndie alikuwa kiongozi wa bunge,bunge lililowezesha nchi kuiweka miundombinu kama barabara zilizowezesha mkeo kwenda kumegwa na kurudi haraka kabla hujarudi home na ndio msingi wa amani unayoiona hapo kwako,hata mama Yako me hivo hivo anawahi kumpikia chakula baba yako na kupata matumizi mengine ambayo baba Yako na wewe mlishindwa kuwatimizia wenzake wenu

Infact kazi kubwa sana ameifanya
Ni lini barabara hazikuwahi kujengwa toka wakati wa ukoloni, na hiyo amani a.k.a uoga lini haukuwepo ila chini yake ndio ikawa tofauti?
 
Kuwashughulikia wapinzani bungeni ili washughulikiwe ipasavyo na bwana jiwe nje ya bunge
 
Ni lini barabara hazikuwahi kujengwa toka wakati wa ukoloni, na hiyo amani a.k.a uoga lini haukuwepo ila chini yake ndio ikawa tofauti?
Kwa hiyo mwenyekiti ndio mmemsahau au,manake mara Polepole,mara nn,Kila tukio mnak8mbizana nalo likija jingine la nyuma mnasahau,mmekosa political focus,Toka reform,mara Lissu,mara Polepole na mengine😆😆
 
Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi.

Zaidi sana ni bunge aliloliongoza kupoteza mvuto wa kufuatiliwa na raia walio wengi.
Kushughulika na kibaraka
 
Kwa hiyo mwenyekiti ndio mmemsahau au,manake mara Polepole,mara nn,Kila tukio mnak8mbizana nalo likija jingine la nyuma mnasahau,mmekosa political focus,Toka reform,mara Lissu,mara Polepole na mengine😆😆
Hapa ni mitandaoni, sio kwenye ofisi za cdm. Ungeingia kwenye vikao vya cdm ukute wanajadili habari za Polepole ungekuwa na haki ya kusema hiki usemacho. Huenda hujui mijadala ya mitandaoni, na vikao vya chama. Siku ukijua tofauti uje tuendelee na mjadala dogo.
 
Vikao bila mwenyekiti ni batili😆😆
 
Back
Top Bottom