Hapo amefurahi leo hana upinzani amebaki na mwanandoa wake na watoto wake wa njeKikao cha bunge kimeanza wabunge wa chadema hawapo!
Spika wa bunge hajalizungumzia kabisaa suala la booom! Huyu spika to much..
Hapo amefurahi leo hana upinzani amebaki na mwanandoa wake na watoto wake wa nje
wamechanganyikiwa...........
watapiga meza mpaka zipasuke!
Inaniwia shaka kwa jinsi bunge lilivyoweza kuanza vikao bila hata kulaani tukio lile! Mbona mengine yamekuwa yakisemwa bungeni mfano boom la kanisani, na matukio ya mtwara, je hili la Arusha ni kwa sababu linahusu wapinzani? Je ungekuwa ni mkutano wa ccm wasingelizungumzia?
hakika tulikosa spika tukapata MAKINDA!
Hatuwezi kupoteza rasilimali za taifa kwa mambo ambayo yanatengenezwa kwa makusudi ili kuchonganisha serikali na watu wake.
Wito wangu kwa raia wema ni kuacha kuhudhuria mikutano ya hawa watu maana watatutoa kafara hadi lini? Nani alijiuliza ilikuwaje mbowe na lema waondoke kwanza ndo bomu lilipuke? huu ni utoto wa hali ya juu.