Spika hata kulizungumzia bungeni!

Spika hata kulizungumzia bungeni!

Mama Makinda anaroho ya kigaidi, au ukiwa mpinzani sio Mtanzania.?
 
Kikao cha bunge kimeanza wabunge wa CHADEMA hawapo!
Spika wa bunge hajalizungumzia kabisaa suala la booom! Huyu spika to much...

Hawezi kuzungumzia labda kama bomu lingepiwa kwenye mkutano wa CCM. Jamani walisema spika awe mwanamke sikuona ubaya wowote lakini tukubali kuwa huyu hana hata chembe ya uwezo. Hivi kweli angekuwa Jenista Mhagama mambo yangekuwa hivi. Nadhani hata Anna Abdallah angefanya vizuri zaidi. Huyu ni bomu kabisa. Kumbe wakati mwingine taswira ya taasisi yoyote ni kiongozi wake. Wakati wa Samuel Six bunge lilikuwa na taswira nzuri kumbe ilikuwa ni uongozi wa mzee Six tu.
 
Dhamira inamsuta huyo. Pia hasira ya ku miss target. Hata wezi wakiua huwa wanaishiwa nguvu wakikumbuka damu na ndio maana wengi wao hukamatwa kirahiiisi. achana na damu ya mtu inanena wakuu
 
Hakika tulikosa spika tukapata makinda..
 
Huyu ni spika ni jaribu tulilopewa,yatupasa kuwa makini kulivuka hili.......Mungu atupe hekima zaidi.
Baado kidogo watadai SWALA HILI LIKO MAHAKAMANI. Viongozi wetu wana apa bila kujua viapo vyao vinamajukumu gani!
 
Kikao cha bunge kimeanza wabunge wa CHADEMA hawapo!
Spika wa bunge hajalizungumzia kabisaa suala la booom! Huyu spika to much...
Natizama Bunge ....,Nashangaa Sana wengi wa wabunge wa CCM WANAOONGE HAWATOI HATA POLE KWA WAKAZI WA ARUSHA ...HII CHUKI YA NINI...UKIONDOA HENRY SHEKIFU ......Na mwingine mmoja WOTE WALIOONGEA HAWAJATOA HATA POLE ...


:A S 13:


 
Mkuu! leo umejidhihirisha kuwa ni bidhaa ya bei nafuu kuliko tulivyodhani hapo awali. Unawezaje kutoa mchango wa kebehi kiasi hicho dhidi ya tukio lililogharimu roho za watanzania wenzako?, kwakweli kuwa shabiki wa ccm ni zaidi ya kuwa mwendawazimu. Komaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!..

ssspika gani double standard'''''''''' tunaumia sana watz cccm ingekuwa na watu makini ;;; upinzani usingefurukuta badala yake ndiyo hivyo
 
Serikali yakiinimacho na utawara wa kihuni, raisi anatoka Pwani, chuo cha sanaa kiko Bagamoyo Pwani, ni sawasawa na msani ili apate noti lazima azunguke kila mahali kuuza usanii wake na ndicho anacho fanya msani wa ikuru
 
Back
Top Bottom