Spika azuia posho mara mbili kwa wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika azuia posho mara mbili kwa wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyauba, Feb 14, 2011.

 1. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Leo katika magazeti nimesikia Spika wa Bunge Mh Anna Makinda akitoa maelekezo kuwa hairuhusiwii wabunge kupokea posho mara mbili wanapokuwa katika shughuli za kibunge kwenye taasisi na mashirika ya umma.

  Je hii ni kweli au ndo kaanza kujitofautishaa na waliomtangulia? Au huyu January kamfungua macho kwa majuzi kuomba kamati yake isipokee ile bahasha ya lunch ya Tshs 1m kutoka TANESCO!!!!!!!!???
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anacheza mchezo wa kutafuta umaarufu kwenye magazeti. Akamuulize Mwakyembe na mkurugenzi wa TAKUKURU. Wabunge ndio wanaolazimisha hizo posho, ni jukumu la nguvu ya umma kuziondoa
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Badala ya kuwaambia wakuu wa hayo mashirika au Halmashauri kutowapa, yeye anawaambia Wabunge, kwani wanaombaga? Atatue tatizo la msingi....................
   
Loading...