Spika Anne Makinda:Wanawake walikuwa hawafiki kileleni

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,349
104,356
Wakati wa kumtawadha Mh.John Magufuli kuwa mgombea wa CCM,Mh.Makinda ametoa kauli tata kwamba kwa miaka yote wanawake wamekuwa hawafiki kileleni,lakini kwa awamu hii ya JK wamefika kileleni,tena wanawake wawili
 
Ah ah ah mama mbavu zangu! wabongo kwa kugeuza maneno hawapo nyuma aisee! yan wao kila k2 wanatafsiri matusi!Hk kwe2 uswazi ujiangalie kweli unavoongea kwamfano ukimwambia mtoto ntakutia bakora za kutosha basi watu mawazo yao yanakimbilia kwny ngono aisee!
 
Hahaha jf bana...rahaaaa mpaka karaha..nilisikia akisema but I failed to notice that...nice thought though.
 
Mzee wa kazi sijui kama atatufikisha kileleni, hapa kuchepuka ni lazima hakuna namna.
 
Wakati wa kumtawadha Mh.John Magufuli kuwa mgombea wa CCM,Mh.Makinda ametoa kauli tata kwamba kwa miaka yote wanawake wamekuwa hawafiki kileleni,lakini kwa awamu hii ya JK wamefika kileleni,tena wanawake wawili

Mabinti siku hizi wana kauli tatanishi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom